KIGODOROIlikua sio graduation ya shule bali ulikua UNACHEZWA.
wanadareselama wamenielewa
watu mna mbwebwe sana chekeche mpaka wanashonewa majoo utadhani wanakuwa awaded phDWakati namaliza form four baba aliwaita wabena wenzangu pamoja na ngoma kutoka kwa mama yangu msafwa.walikula wakacheza na kunywa hadi usiku wa manane.moyoni niliiona baba anafurahia nini wakati sijawahi kuwepo hata kwenye top 30,matokeo yalivyotoka nilipiga miswaki kote.baba na wazazi wangu mnihurumie
lakini amejitahidi sana darasani mpaka ameweza kuanzisha thread jf!! mleta mada kaaply datastar university ukasome bachelor in jamiiforum thread and postingwatu mna mbwebwe sana chekeche mpaka wanashonewa majoo utadhani wanakuwa awaded phD
but usikate tamaa pambana. sherekea baada ya vita kuisha siyo kabla ya vita
mh!lakini amejitahidi sana darasani mpaka ameweza kuanzisha thread jf!! mleta mada kaaply datastar university ukasome bachelor in jamiiforum thread and posting
Sina hamu....lakini amejitahidi sana darasani mpaka ameweza kuanzisha thread jf!! mleta mada kaaply datastar university ukasome bachelor in jamiiforum thread and posting
Umenchekesha sn haki ya baba!!.Wakati namaliza form four baba aliwaita wabena wenzangu pamoja na ngoma kutoka kwa mama yangu msafwa.walikula wakacheza na kunywa hadi usiku wa manane.moyoni niliiona baba anafurahia nini wakati sijawahi kuwepo hata kwenye top 30,matokeo yalivyotoka nilipiga miswaki kote.baba na wazazi wangu mnihurumie