mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 956
Wakati namaliza form four baba aliwaita wenzangu pamoja na ngoma kutoka kwa mama yangu walikula wakacheza na kunywa hadi usiku wa manane, moyoni niliona baba anafurahia nini wakati sijawahi kuwepo hata kwenye top 30, matokeo yalivyotoka nilipiga miswaki kote, baba na wazazi wangu mnihurumie.