Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 42
Ha ha ha hiyo kazi unaijua peke yako.Niliwahi huku nlipo mwenzio.Poleni sana.Majitu mengne bwana,kwani uliombwa uje huku??2ache na shida ze2 bana,we endelea 2 kupga box huko uliko.
jKwanini unahitaji bodyguard?Members JF!
Habari.
Nashukuru niliomba maelekezo ya kujua magazeti ya kusoma pia stations za kupata habari.
Ila nilishindwa hata kuitumia phone yangu so nimeshindwa kuwasiliana kipindi nlichokuepo huko Bongo.
Ni kwetu kuna jamaa zangu wengi lakini si vibaya kusema''nawashukuru'' kwa yote mlionielekeza lakini nilikaa huko siku 3 nkarejea na maswali mengi.
1-Nimekuja muda si muafaka?
2-Matatizo kama ndio hayo uhakika wa maendeleo itakuaje? Maana umeme wa uhakika shida na vitu vingi vinahitaji umeme ...bara bara jams ,maji hakuna uhakika ...
Nimesikitika zaidi nilipanga kuonana na members ana kwa ana.
Nilikua muoga maana sikuwa na bodyguard.
Ahsanteni.
Ili nimlipe ajili ya hiyo kazi yake.jKwanini unahitaji bodyguard?
Kwanini usimtafute psychotherapist?...ili umlipie kwa kazi yake?Ili nimlipe ajili ya hiyo kazi yake.
Members JF!
Habari.
Nashukuru niliomba maelekezo ya kujua magazeti ya kusoma pia stations za kupata habari.
Ila nilishindwa hata kuitumia phone yangu so nimeshindwa kuwasiliana kipindi nlichokuepo huko Bongo.
Ni kwetu kuna jamaa zangu wengi lakini si vibaya kusema''nawashukuru'' kwa yote mlionielekeza lakini nilikaa huko siku 3 nkarejea na maswali mengi.
1-Nimekuja muda si muafaka?
2-Matatizo kama ndio hayo uhakika wa maendeleo itakuaje? Maana umeme wa uhakika shida na vitu vingi vinahitaji umeme ...bara bara jams ,maji hakuna uhakika ...
Nimesikitika zaidi nilipanga kuonana na members ana kwa ana.
Nilikua muoga maana sikuwa na bodyguard.
Ahsanteni.
Unataka unipe passport?Samahani nimejibu maana swali hujibiwa na swali pia.Ulizaliwa wapi kwani mwenzetu?
Preta !Matatizo nimeyataja...nilikua naja kwa matayarisho ya kuanzisha uzalishaji. Nimerejea labda watakuja wenzangu mara nyingine.Nimewakilisha ahadi nilio ahadi humu kwa wana JF.sijaelewa hapa.......Ndevu mbili......nini tatizo?
Ha ha ha Kobello!Sina tatizo hilo.Kwanini usimtafute psychotherapist?...ili umlipie kwa kazi yake?
Preta !Matatizo nimeyataja...nilikua naja kwa matayarisho ya kuanzisha uzalishaji. Nimerejea labda watakuja wenzangu mara nyingine.Nimewakilisha ahadi nilio ahadi humu kwa wana JF.
Mazee ina maana muda wote hujui matatizo ya umeme bongo? Au ndiyo nyie type za kukaa miaka miwili Albania huko tayari unasema "Nimesahau Kiswahili" ?
Si ajabu na mbwembwe zote hizi unatokea Zaire au Sudani, anyway au pakistan lakini unataka kila mtu ajue kuwa umepanda ndege haya syco tumejua tayariMembers JF!Habari.Nashukuru niliomba maelekezo ya kujua magazeti ya kusoma pia stations za kupata habari.Ila nilishindwa hata kuitumia phone yangu so nimeshindwa kuwasiliana kipindi nlichokuepo huko Bongo.Ni kwetu kuna jamaa zangu wengi lakini si vibaya kusema''nawashukuru'' kwa yote mlionielekeza lakini nilikaa huko siku 3 nkarejea na maswali mengi.1-Nimekuja muda si muafaka?2-Matatizo kama ndio hayo uhakika wa maendeleo itakuaje? Maana umeme wa uhakika shida na vitu vingi vinahitaji umeme ...bara bara jams ,maji hakuna uhakika ...Nimesikitika zaidi nilipanga kuonana na members ana kwa ana.Nilikua muoga maana sikuwa na bodyguard.Ahsanteni.
Utajuaje kama yupo huko na alikuja????Yupo mwenzie leo katangaza kugongewa viza hapahapa na sridi ameianzisha........