genius mvivu
Senior Member
- Apr 19, 2019
- 156
- 274
genius mvivu nimeona hata kwenye uandishi wako kuna kila dalili ya uvivu...oky kila la kheri na harakati zako
Ulifanikisha vip mkuu naona story yako inanivutia hivi.....Halafu kitu kingine biashara sio vitu....biashara n muuzaji...muuzaji akiwa dhaifu bas lazma biashara lazma ianguke
Half kngne usikurupuke...fanya uchunguzi....!!
Mimi mwenyew nilipostpone masomo mwaka wa mwsho baada ya kuona ntamaliza boom bila ya kujiandaa na maisha...maana hali ya ajira niliiona
Lakini nilifanya research miezi mi3 kabla biashara gn ya kuweka na jinsi ya kuisimamia...mpk sasa mambo yanaenda vizuri tu
View attachment 1181065