Thomas Paul
Member
- Jan 8, 2018
- 20
- 3
Wana jf naombeni mnijuze nilazima ujue hesabu ndo usome ICT
Sio ICT tu, kozi zote za sayansi ni LAZIMA UWE NA UJUZI WA HESABU!!Wana jf naombeni mnijuze nilazima ujue hesabu ndo usome ICT
Hesabu ni kila kitu mkuu, soma hadi at least advanced level. Baada ya pale sasa unakuwa jembe.Wana jf naombeni mnijuze nilazima ujue hesabu ndo usome ICT
Unataka kusoma ICT kwa kiwango gani?
Kusoma ICT nimuhimu sana ujue ku conceptualize vitu kwa kutumia set theory, logic, discrete math, ukija kwenye machinelanguage lazima ujue base 2 math, kwenye network na address ni lazimaujue base 16 mathkwenye ma hexadecimal numbers huko. Ukitakakujua fundamentals za encryption lazima ujue umuhimu wa large prime numbers na zinavyotumika katika encryption.
IT in one way or another is a highly abstract field kiasi kwamba kuikimbiamath si rahisi.
Ila inategemea na utakachofanya, unaweza kufanya kitu ambacho on a daily hakihusiana na math lakinimath inasaidia sana katika ku conceptualize abstract decistion tree kwa mfano.
Mkuu zinakuwa na ugumu gan izo hesabu
ICT na Hesabu ni CCM na TZ,yan damu damuWana jf naombeni mnijuze nilazima ujue hesabu ndo usome ICT