Nilaumu macho yangu Au moyo, niambieni?

Nilaumu macho yangu Au moyo, niambieni?

Macho manafiki sana ndo yanajitia kumpa habari moyo halafu yanamuacha apambane na hali yake,,,,,, hahahahaha vijana kuweni makini na macho yenu
Kwa kweli aiseee, macho manafiki sana.

Na nkimwambia cute b anasema eti tabia zetu tu
 
Back
Top Bottom