Acha kupotosha watu, HIV rapid test bioline na Unigold zilizopo nchini hazipimi uwingi wa virusi bali hupima Ab-Ag reaction ambazo ni chemical zinazalishwa bada tu yamtu kupata mambukizi.Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.
wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS
unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.
Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.
Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV
Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...
NB pima, kisha tumia condom.
hakuna haja ya kupima basNB pima, kisha tumia condom.
Note: matumizi sahh ya ARV hupunguza kasi ya mambukizi.Acha kuwapumbaza watu na kama umegegedwa na mtu muathirika subiri baada ya mwezi ukapime uridie kupima tena baada ya miezi mitatu asikudanganye ety ametumia ARV kwa muda mrefu.Haina uhusiano wowote na kuzuia maambukizi ukichubuka tu unao.Ila mtumiaji wa mudamrefu anayefwata masharti anaweza kuonekana negative lakini hai mzuii kuambukiza.Pia kuna vidonge vya PEP hivyo hutumika kuzuia maambukizi kama unauhakika damu yako imegusana na muathirika dose hii inatakiwa uanze haraka ndani ya masaa 72 baada ya kupata maambukizi,hii dose hutumiwa kwa siku 28 hadi 30 huzuia kabisa maambukizi.Had I muda njia nzuri ya kuepuka maambukizi ni kutumia condom kwa ufasaha hakuna janja janja ety kutumia vilainishi au kipimana kabla hamja duu hizo test kit zenyewe haziwezi kudetect virus kwa mtumiaji mzuri wa caffeine au ARV kwa muda mrefu.
Mpe hela zake sasaUzi huu ukifikisha comments 50 tu nakupa 10,000/= Kesh maana wabongo huwa hatupendi jumbe nzuri kama hizi
Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.
wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS
unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.
Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.
Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV
Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...
NB pima, kisha tumia condom.
Mbona kama mnatuyumbisha sisi tusiojua wapi ni wapi huyu anasema huv na mwingine anakuja kupinga tumuamini nani jmn.HIV wakiingia mwilini mwa mtu hata atumie ARV zaidi ya miezi sita mtu huyo akipima ataonekana ni Positive tu
We ni muongo acha kuwahadaa wenzio ..mtu hata akitumia ARV miaka minne akipima bado itaonekana positive na sikama usemavyo!
Umeshamupa 10000 yake?Uzi huu ukifikisha comments 50 tu nakupa 10,000/= Kesh maana wabongo huwa hatupendi jumbe nzuri kama hizi
Wadudu wanaoshambulia kinga ndiyo wanaoambukizwa mkuu.ukimwi ni upungu wa kinga,upungufu wa kinga sio ugonjwa so hauambukizi hata siku moja ,magonjwa kama TB,ebola,gonorrhea,kaswende nk ndio yanaambukiza ila strength ya kinga (immunity) haiambukizwi.tumedanganywa sana kuhusu hii dhana ya kufikirika ya H.I.V
Hivo vidonge vya pep vinavizuia maambukizi ya ukiwmi vinapatiakanaaa wapi na ni sh ngap mbona sjawahi kuskia inamaana umefanywa siri ili iweje kwamba watu tukijua tutafanya ngono zembe kwa kutegemea kemeza dozi ya pep naomba majibu hapa.Acha kuwapumbaza watu na kama umegegedwa na mtu muathirika subiri baada ya mwezi ukapime uridie kupima tena baada ya miezi mitatu asikudanganye ety ametumia ARV kwa muda mrefu.Haina uhusiano wowote na kuzuia maambukizi ukichubuka tu unao.Ila mtumiaji wa mudamrefu anayefwata masharti anaweza kuonekana negative lakini hai mzuii kuambukiza.Pia kuna vidonge vya PEP hivyo hutumika kuzuia maambukizi kama unauhakika damu yako imegusana na muathirika dose hii inatakiwa uanze haraka ndani ya masaa 72 baada ya kupata maambukizi,hii dose hutumiwa kwa siku 28 hadi 30 huzuia kabisa maambukizi.Had I muda njia nzuri ya kuepuka maambukizi ni kutumia condom kwa ufasaha hakuna janja janja ety kutumia vilainishi au kipimana kabla hamja duu hizo test kit zenyewe haziwezi kudetect virus kwa mtumiaji mzuri wa caffeine au ARV kwa muda mrefu.
Sidhani kama wewe ni mtumishi wa afya, na kama ni mtumishi wa afya basi wagonjwa wetu wanapata tabu sana !
Bila shaka hujui maana ya kufubaza VVU na hujui maana ya hiyo NEGATIVE inayoonekana baadaya ya mtu kupima Viral load baada ya kutumia dawa ndani ya miezi 6.
Kwanza sio kila mmoja anaetumia kwa miezi 6 VVU itakuwa TARGET NOT DETECTED yaani kufubaza VVU kwa kiwango cha Juu bali kwa wale tu waliotumia vizuri kwa kufata masharti. Kwa maana hiyo kuna waliotumia dawa hata miaka kadhaa lakini wana virus vingi sana
Hii hutokana na kutozingatia matumizi mfano kunywa pombe, kutokunywa kwa muda elekezi, kufanya ngono na kupata maambukizi mapya n.k
Kile kipimo hakionyeshi NEGATIVE bali kinaonyesha idadi ya VIRUS ambapo kwa mtu alie tumia vizuri anatakiwa awe na PCs 0 hadi 20 na juu ya hapo inasomeka kama sio mtumiaji mzuri.
Kuhusu kuambukiza au kutoambukiza iko pale pale kutegemeana na mazingira ya kufanya sex. Usidanganyike maambukizi yapo na wote wanaotumia na wasiotumia dawa wanaweza kuambukiza.
Kwa elimu zaidi nitafute!
Unajitetea tena. Mkuu wakat ulisema ww.. Mwenyewe mpe elf 10 yake bhana
huyo mdudu lazima ajulikane ni wa ugonjwa gani kama TB,EBOLA nk ndio maana ukikaa karibu na mgonjwa wa TB lazima ujihadhari maana kuna wadudu wanaosababisha ugonjwa huo wanaambukiza kwa njia ya hewa ,na wakiingia kwenye mwili yako watasababisha kinga yako kupungua hivyo kupata hatari ya kupata ungonjwa huoWadudu wanaoshambulia kinga ndiyo wanaoambukizwa mkuu.
10,000/=[emoji851]Toa hera ww acha uongo wako kwani ulipo sema ikifika siku 1 au wiki mpe. Hera yake umeahidi ww mwenyewe hujalazimishwa na ntu.
Umedanganywa na huyu jamaa ukadanganyika daah aiseeThanks kwa maelezo mazuri.Niliwahi sikia ARV zinafubaza virus.Niliambiwa hata ukipata HIV leo ukaanza kutumia dozi za ARV unapona coz virus wanakua hawaja pata sehem ya kujificha.Nlikua sijui ishu ya mwenye HIV kutumia ARV ukimpima utamkuta negative.So hata ukimpima ukakuta Yuko fresh ukagonga dry Pima tena ukikuta ipo anza dozi ya ARV ukienda kupima utakuta Huna ngoma!
Mkuu what is HIV???. Kunavirus vinavyoshambila mfumo wa kinga ya mwili kiongozi. Hivi virus ndiyo vinanyo ambukizwa. Hayo magonjwa uliyoyataja kam TB huweza kuuvamia mwili kwa wepesi baada ya kinga ya mwili kudhofishwa na virusi hivyo. Au unataka ubishi tu???huyo mdudu lazima ajulikane ni wa ugonjwa gani kama TB,EBOLA nk ndio maana ukikaa karibu na mgonjwa wa TB lazima ujihadhari maana kuna wadudu wanaosababisha ugonjwa huo wanaambukiza kwa njia ya hewa ,na wakiingia kwenye mwili yako watasababisha kinga yako kupungua hivyo kupata hatari ya kupata ungonjwa huo
njia za asili ni zp mkuu nijuzeUMEONGE JAMBO JEMA SANA, WATU WAACHE UZINZI WAWE WAAMINIFU KWA MPENZI MMOJA BAADA YA KUPIMA NA WATUMIE NJIA ZA ASILI ZA KUFANYA NGONO