isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Kumbuka HIV sio ngono tu.
Ss chukulia ingekuwa ni umbeya ingekuwa 38 km unavyoiona![]()
UsidanganyikeNoted

Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.
wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS
unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.
Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.
Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV
Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...
NB pima, kisha tumia condom.
Uzi huu ukifikisha comments 50 tu nakupa 10,000/= Kesh maana wabongo huwa hatupendi jumbe nzuri kama hizi
bado ngapi tufike 50 comments???
Mpatie mkuuUzi huu ukifikisha comments 50 tu nakupa 10,000/= Kesh maana wabongo huwa hatupendi jumbe nzuri kama hizi

Mpatie mkuu
Njoo na reference mkuuukimwi ni upungu wa kinga,upungufu wa kinga sio ugonjwa so hauambukizi hata siku moja ,magonjwa kama TB,ebola,gonorrhea,kaswende nk ndio yanaambukiza ila strength ya kinga (immunity) haiambukizwi.tumedanganywa sana kuhusu hii dhana ya kufikirika ya H.I.V
Uzi huu ukifikisha comments 50 tu nakupa 10,000/= Kesh maana wabongo huwa hatupendi jumbe nzuri kama hizi
Mwandalie hicho kiasi..tayari uzi una replies 50+Uzi huu ukifikisha comments 50 tu nakupa 10,000/= Kesh maana wabongo huwa hatupendi jumbe nzuri kama hizi
Mwandalie hicho kiasi..tayari uzi una replies 50+
50-non relevant matter comments = ?
Anyway, nilichokuwa nataka nidhihirishe ni ule uhalisia wetu Wabongo ktk kuchangia mada km hizi huwa ni wazito sana, "the rest of all vise versa is true"
Sijui kama ahadi yako umeitimiza vyema, ili kuhakiki ulipe 10,000/= kesh zihesabu comment mmalizane naye, mwambie atulishe tunaendelea ku commentUzi huu ukifikisha comments 50 tu nakupa 10,000/= Kesh maana wabongo huwa hatupendi jumbe nzuri kama hizi
Ooooh.... Mimi nakushauri baada ya kumaliza kugegeda nenda kapime viral load baada ya miezi mitatu...utuletee majibu.Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.
wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS
unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.
Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.
Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV
Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...
NB pima, kisha tumia condom.

Umpe sasaUzi huu ukifikisha comments 50 tu nakupa 10,000/= Kesh maana wabongo huwa hatupendi jumbe nzuri kama hizi