Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

Hujaupata ndo maana unaona it's easy,ugonjwa wa UKIMWI initially unaanza kukuharibu psychology yako and mental disturbance ndo uje body/physical torture...worldwide mental diseases are difficult to cure,play safe fellow!!
Mi xjaelewa apo, ebu ttuambie ayo maneno kwa kiswahili
 
Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.

wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS

unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.

Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.

Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV

Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...

NB pima, kisha tumia condom.

Kunaa technoligia ya kutambua virusi hata kama vikiwa kwenye hibernation state..Upimaji wa njia ya kawaida wanachofanya ni ku- induce fake attack mwili unatoa immuny repsonse. Kirusi hata kama hakipo ukipeleka attack mwili uta-react kwa sababu cell zinakuwa na kumbukumbu ya previous known attack ambayo ndo wanajua kuwa ukimwi upo. lakini kuna upimaji ambao hautumii immuny response.
Wanapima kwa kutumia spectrum tofauti kabisa. All in all kwa technologia ya sasa haiwezekani wasiweze kugundua virusi kwa kuwa tu mtu anatumia dawa.
 
Mkuu what is HIV???. Kunavirus vinavyoshambila mfumo wa kinga ya mwili kiongozi. Hivi virus ndiyo vinanyo ambukizwa. Hayo magonjwa uliyoyataja kam TB huweza kuuvamia mwili kwa wepesi baada ya kinga ya mwili kudhofishwa na virusi hivyo. Au unataka ubishi tu???
kaka fungua ubongo wako ,acha kufikiria ndani ya box,mtuawa/mtauliwa hadi lini kwa nadharia za kutungwa na watu wachache? ushawahi kumuona kirusi wa HIV? umbo lake likoje? ushawahi kuona hata mchoro wake? achenikudanganywa ili mtumie ARV mtajirishe watu then mjifie kipumbavu/.
HIV ni nadharia tu ,kiuhalisia hakuna kitu kama hicho,its an imaginary Virus ambao hawajawahi kuexist
 
Uongo kuwa mtu akitumia arv kwa miezi sita anaweza kuwa negative. Umesema kweli kuwa kwa mtu anayetumia arv uwezo wa kuambukiza ni mdogo ila haimaanishi kuwa hawezi kuambukiza anaweza kuambukiza ila uwezekano ni mdogo. Bado precautions lazima ziendelee kuchukuliwa. Kumbuka ukipata ukimwi utakuwa positive milele.
Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.

wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS

unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.

Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.

Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV

Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...

NB pima, kisha tumia condom.
 
kaka fungua ubongo wako ,acha kufikiria ndani ya box,mtuawa/mtauliwa hadi lini kwa nadharia za kutungwa na watu wachache? ushawahi kumuona kirusi wa HIV? umbo lake likoje? ushawahi kuona hata mchoro wake? achenikudanganywa ili mtumie ARV mtajirishe watu then mjifie kipumbavu/.
HIV ni nadharia tu ,kiuhalisia hakuna kitu kama hicho,its an imaginary Virus ambao hawajawahi kuexist
Kwa hakri hizi tunamhitaji Magufuli atunyoshe kwa kweri.
 
hakri ndio nini?
anyaway endeleeni kufa kama kuku maana mshafungwa mota kwenye bongo zenu hamuwezi kufunguliwa akili zenu mpaka kiama
 
Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.

wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS

unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.

Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.

Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV

Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...

NB pima, kisha tumia condom.

duh hii nimeipenda...so it mean mie kwa mfano nikapandikiza makudusu hiv alafu mwanawane naendelea kutumia ARV na huku naendeleaa kuwagegeda warembo hawawezi nishitaki kuwa nimewaambukiza virusi?
 
kaka fungua ubongo wako ,acha kufikiria ndani ya box,mtuawa/mtauliwa hadi lini kwa nadharia za kutungwa na watu wachache? ushawahi kumuona kirusi wa HIV? umbo lake likoje? ushawahi kuona hata mchoro wake? achenikudanganywa ili mtumie ARV mtajirishe watu then mjifie kipumbavu/.
HIV ni nadharia tu ,kiuhalisia hakuna kitu kama hicho,its an imaginary Virus ambao hawajawahi kuexist
Kiongozi sijakupata. unaweza kudadavua ni kwamba hakuna kirusi wa hiv au!?
 
Acha kupotesha watu mkuu ,si kweli kwamba mtu akitumia dawa zaid ya miezi sita akipimwa anakutwa negative

Yaani ni big lies tena sisi watu wa afya itabidi tukuchkulie hatua kabisa kwa upotoshaji huu

Kinachopimwa kwenye vipimo vyetu hivi vya bioline na unigold ni antibodies specific for HIV na sio HIV virus mwenyewe

Licha ya vidudu kufubazwa na dawa bado antibodies zinakuwepo za kutosha kwenye mzunguko wa damu kuweza kusoma kwenye hivy vipimo nilivyotaja hapo hu

Ufuasi mzur wa dawa haumaanishi kwamba ukipimwa itasoma negative bali ukipima Viral load test ndo inasoma un detectable range
Naomba unisaidie kuelewa hawa watu wenye HIV /AIDS kwenye hii link walitumia muujiza gani?
 
Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.

wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS

unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.

Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.

Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV

Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...

NB pima, kisha tumia condom.
Nimesoma ujumbe uliotuma na kuuelewa mengi uliyoandika yana ukweli kabsa
Kurekebisha sehemu moja kuhusu matumizi ya dawa kwa ufasaha na vipimo vya HIV

Ni kwamba kwa vipimo vya sasa vya HIV ni vigumu sana kipimo kushindwa kuonesha kama MTU ameathirika, hivi vipimo hudetect antibody za VVU na sio wingi wa virusi kama wengi wanavyojua. Hata kama unatumia dawa au hutumii,kipimo kitaonesha.Vipimo vya sasa vya HIV SD bioline na UNigold sensitivity na specificity yake ni kubwa mno.Kwa lugha rahisi uwezo wa vipimo hivi kuonesha kama umeathirika au hujaathirika ni mkubwa mno . Hivyo basi haviwezi shindwa kuonesha kama umeathirika.
Unigold kwa kuwa specificity yake ni kubwa kwa mgonjwa anayetumia dawa vizuri kinaweza kisioneshe kama umeathirika

Ila SD bioline piga ,ua kitareact tuuuuuu

Shida huwa inatokea endapo seroconversion haijatokea (ambapo antibody dhidi ya HIV hazijazalishwa) hapa kipimo hakitaonesha kama ni mwathirika. Hii hutokea within one week to two weeks after HIV infection na chance ya infectivity ni kubwa maana hiki ndo kipindi virusi huzalishwa kwa wingi.
 
Endeleeni kudanganyana kuwa ARV zinafanya HIV ipone... Mkimaliza kudanganyana mnitagi....
 
Mh!!!
Thanks kwa maelezo mazuri.Niliwahi sikia ARV zinafubaza virus.Niliambiwa hata ukipata HIV leo ukaanza kutumia dozi za ARV unapona coz virus wanakua hawaja pata sehem ya kujificha.Nlikua sijui ishu ya mwenye HIV kutumia ARV ukimpima utamkuta negative.So hata ukimpima ukakuta Yuko fresh ukagonga dry Pima tena ukikuta ipo anza dozi ya ARV ukienda kupima utakuta Huna ngoma!
 
Acha kuwapumbaza watu na kama umegegedwa na mtu muathirika subiri baada ya mwezi ukapime uridie kupima tena baada ya miezi mitatu asikudanganye ety ametumia ARV kwa muda mrefu.Haina uhusiano wowote na kuzuia maambukizi ukichubuka tu unao.Ila mtumiaji wa mudamrefu anayefwata masharti anaweza kuonekana negative lakini hai mzuii kuambukiza.Pia kuna vidonge vya PEP hivyo hutumika kuzuia maambukizi kama unauhakika damu yako imegusana na muathirika dose hii inatakiwa uanze haraka ndani ya masaa 72 baada ya kupata maambukizi,hii dose hutumiwa kwa siku 28 hadi 30 huzuia kabisa maambukizi.Had I muda njia nzuri ya kuepuka maambukizi ni kutumia condom kwa ufasaha hakuna janja janja ety kutumia vilainishi au kipimana kabla hamja duu hizo test kit zenyewe haziwezi kudetect virus kwa mtumiaji mzuri wa caffeine au ARV kwa muda mrefu.
Lakini kwann imekuwa ni dhana sasa hata kwa baadhi ya watoa semina kwamba,kwa mtu ambaye anaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI kwamba kama ni mfuasi mzuri wa dozi za ARV'S anao uwezo mdogo sana wa kumuambukiza mtu asio na hio shida kwanini...????
 
Back
Top Bottom