Nikueleweje mwenzangu wewe...

mm the same same day ningekwambia nina mimba,kwani mimba inaingia mara mbili?
 
Jamani ni mkasa umenikumba nami naomba niende straight to the point.
tarehe 15 Aprili nilikuwa safarini, nikakutana naye (u r not 12 years so u know wat i mean)...nikarudi nyumbani..
Jana naona post on my facebook wall, "I'v got important news to tel u, lemmie know when u r online"
Nikamkol akanambia hawezi kuniambia "yet"..
jamani tarehe zenyewe ndo hizi..
nisaidieni, kunaweza kuwa na any other thing kutoa what am thinking right now!???
m so stressed now...:help::help::help:
Vipi bado hajakwambia tu???
 
Duh? Hakuna cha hiv wala mimba hapo braza, anataka akuchune pesa ya kutolea mimba basi, dogo kua uyaoneeee! Kama ingekuwa mimi akiniambia tu, namjibu zaaa mi nitalea. Kwa kuwa dini zinakataza kuua,kila kijacho duniani mungu anampango mzuri nacho, tuliza bori dogo, akikuambia mkomalie, mwambie azae tu, we kidume mchecheto wa nini mwanangu? Komaaa nae.
 
thread zingine zahitaji meditation b4 replying homie, after some minutes willl be back to answer lkn mmhhh...!
 
Jamani ni mkasa umenikumba nami naomba niende straight to the point.
tarehe 15 Aprili nilikuwa safarini, nikakutana naye (u r not 12 years so u know wat i mean)...nikarudi nyumbani..
Jana naona post on my facebook wall, "I'v got important news to tel u, lemmie know when u r online"
Nikamkol akanambia hawezi kuniambia "yet"..
jamani tarehe zenyewe ndo hizi..
nisaidieni, kunaweza kuwa na any other thing kutoa what am thinking right now!???
m so stressed now...:help::help::help:

sijakuelewa kabisa mdogo wangu!
 
Back
Top Bottom