Nikopesheni 7000\=

Mkuu me nna shida na buku jero tu nadaiwa balimi mahali so kwenye hiyo buku tano yako ukibakiwa na buku tatu jero sio mbaya...ntakushukuru sana
 
jamani hiyo 7000 imeenda kwa mtu wa karanga au mtu wa heineken?
kama unayo its better ukampa huyo wa karanga,usihukumu kuwa atafanya au lah,once ukimpa hazina yako ipo somewhere kwa utakachokifanya,trust me it will come back all of suddenly,on the time of no thinking of it..
 
Wizii mtupuuuuuuu, tena na tenaaaa mkome kabisa kuifanya JF kuwa kijiwe cha kupigia deal mbuzi, binafsi ningekuelewa kuelewa kama ungesimamia kwenye kutafuta memba atakaye kuwezesha kupata ‘piece work’ ya buku 7 ili ujikimu
Mkuu mbona nimesema niko tayari kufanya kazi yoyote.
 
Nimeshamtumia mkuu
 
Tatizo mtu unaweza ukawa na moyo wa kumsaidia mtu kiroho safi kabisa halafu kumbe mwenzio sio kwamba ana shida kweli bali ni MPIGAJI,
Mkuu ni kweli unayosema lakini mimi sio mpigaji ndo mana nimekua muwazi.

Nashkuru mungu mkuu Shunie amenisaidia na kesho naenda kuanza biashara
 
Mkuu kama ni kweli na si utapeli inshallah utafanikiwa ila kama ni JANJAJANJA utaishia PABAYA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…