Nikomboeni niwe na laptop tafadhali

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Wana JF, mwenye ka laptop kenye average specs,na moderate speed kwenye internet,used of course BUT NOT DEFECTIVE,nanunua kwa 500,000. Nikiipata kwa bei poa zaidi tofauti nitachangia kwenye JF.
Iwe DSM,TZ. Hata kama haina software poa,ninazo za kich......a.
 
Mbona kwa hiyo hela unapata laptop nzuri pale Kariakoo au Posta.
 
Nenda VODA au sasatel .. nimeona wana za kulipia kiasi kidogo kwa mwezi. Baada ya mwaka inakuwa umemaliza kulipia.
 
Wana JF, mwenye ka laptop kenye average specs,na moderate speed kwenye internet,used of course BUT NOT DEFECTIVE,nanunua kwa 500,000. Nikiipata kwa bei poa zaidi tofauti nitachangia kwenye JF.
Iwe DSM,TZ. Hata kama haina software poa,ninazo za kich......a.

Nenda kariakoo makutano ya UHURU rd na mtaa wa KONGO ukitokea mnazi mmoja upande wa kushoto kuna duka la wasomali lina laptop nzuri kwa bei slightly less than that, still under good condition with optimum specs. Good luck
 
Lah, WaTz na lugha yao. Mimi nilidhani huyu mkuu anataka msamaria mwema haha JF ampatie laptop ya bure. Jina "naomba" huwa halitumiki sana hapa kwetu haswa kuashiria mtu anataka kununua kitu akitumia pesa zake mbali hutumiwa kusihi usaidizi bila malipo. hehehe

Mimi nina laptop old school kidogo, (1.5 Ghz, 80 gb, 512 RAM) na naweza nikakuuzia shilingi elfu ishirini za Kenya kama utagharamia malipo ya DHL.

Wasemaje?
 
MMzalendo nashukuru,nimechukua contact zako. Hiyo naomba ni = Please na sisi huwa tunajitahidi kuwa waungwana. Nimepata laptop tayari huyo Ndg Truth amenisaidia,lakini next time nitakuulizia Bro.Asante.
 
Ongeza sh laki Moja (Tshs 100,000/=) nikuuzie ya kwangu ambayo naitumia mimi.
ina specs zifuatazo
1. Processor, 1.73Ghz, 1.73Ghz
2. Ram, 1.0 GB
3. HDD, 110GB
4. Intel Celeron
5. Windows Vista
6. HP
7.DVD writter

Ina software zote muhimu katika matumizi ya kawaida ya Computer. Ina Adobe flash player, anti virus protection (AVIRA), Ina download video za you tube (DAP Downloader). Iko katika hali nzuri......nk

Kama uko tayari, send a msg through, "masoudkamoleka@yahoo.co.uk"
 
Back
Top Bottom