ndioVipi uke wenza unauweza ,?
hahahahaha yupoHivi yule bwana uliyekuwa nae mwanzo kwenye post yako ya kwanza mmeachana? Maana alikuwa anakuhudumia sana
Tulia nae wengine kama sisi hela za kuhonga kiasi kile zimetupitia mbalihahahahaha yupo
Utupe Mrejesho Ukiwa Na Wamiaka HiyoHuo umri ndio wanaume wengi huwa wamekomaa ktk mambo mengi.
Usijari utampata tuMie ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi ...nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani...mkristo,na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45..
Ni dhahiri hujui unachoongea. Dada yupo sahihi.
Iyo kiasi hujaiona mkuuHivi unawezaje kusema "Mimi ni mrembo" Hahahahahahahaaaaa all the best. Vijana fursa hio
Ama hujui ulichosema, ama umeghafilika au huhusiki kabisa na ulichokiwasilisha.Dada,
Kwani kuipenda dini ya kiislam uliambiwa ni lazima uolewe kwanza ndo usilimu?? Kwanza nnani kakuambia kuwa mwanamke ana dini?? Si waweza kuolewa na yeyote na bado ukajisilimisha tu?? Acha kudhalilisha dini pendwa. Hatupokei waliokwisha chakachuliwa.
Ama hujui ulichosema, ama umeghafilika au huhusiki kabisa na ulichokiwasilisha.
KaribuMimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
Tuwasiliane 0762550779Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
Nipo hapa mamaMimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.