Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,758
Ni geti kali, kama uko serious njoo usiku nitakupa location ya alipo.Kwanini isiwe mchana na iwe usiku??
Ni geti kali, kama uko serious njoo usiku nitakupa location ya alipo.Kwanini isiwe mchana na iwe usiku??
HahahaKama uko hivyo bahati imekudondokea wewe PM namba yako ya M pesa nikutumie nauli ya kuja dar.
Sina aisee labda uongee na lemutuzNipe connection na mmoja wapo
Sasa kama kaenda kwa hewa nimekosa bahati mie nimeenda kwa chini ya bahari.Au wale wafupi nataka rangi hii harafu awe kaenda kwa hewa
Usiogope, njoo kipindi hiki muda mwingi wazazi wake wanakuwa kazini.Nitakuja wknd, subili niandike urithi kabsa.
Haya je wewe ni mweupe?Utavumiliwa kikubwa upendo uwe nao.
SijakuelewaMimi maji ya maharage.
Hapana wewe weka mambo yako sawa, siku ukiwa vizuri uje.Saa tano ndo muda mzuri ila usiwe umepita wewe.
OhMaji ya kundee
Wako wapi?