Niko tayari kuoa endapo nitapata mwanamke kama huyu

Mkuu ukipata wengi nipunguzie na mm
 
Unachosema ni kweli kabisa mimi ninaye mmoja haingiliki kirahisi wala kwa vishawishi vya pesa..tofauti na haya makungiru pori yamejichubua ngozi imekua kama nguruwe
Thamani yao imepanda sana kuanzia awamu ya nne mwishoni hahahaaaa tena hasa baada ya wimbi la Instagram ikaja onekana kila mtu ni mweupe hahaaa...sasa si unajua the higher the supply the low the demand na low status hahahaaa....
 
Nenda South Sudan au Nothern Uganda wapo wa kumwaga au Senegal


 
Mi napendaga hizi hasa ile black chocolate hawa ngozi zao nyeusi ya kung'aa nakumbuka nilikua na kidemu mixer congo na kigoma daah ni motooo, alafu miili yao inatunza joto yani ni moto fire
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…