Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,657
- 71,443
Hizo ni rare commodities mkuu.
Zipo sana hadi umri fulani..baada ya hapo utaratibu wa kubadili unafanyika
Hizo ni rare commodities mkuu.
You funny hahaaaaNitakuja wknd, subili niandike urithi kabsa.
Miaka ya zamani walikuwa hawanati sasa hivi washajua wapo wachache hiyo competition lazima itatumaliza...halafu siku hizi wanalinga mbaya....Wapo wengi mnooo sema hujaamua kuwatafuta
Wayao???We umekaa mjini hapo unategemea kuwaona hao... Tanzania ni kubwa mnooo huku mtwara wapo wamejaa tele hawana soko
Mkuu ukipata wengi nipunguzie na mmAise mimi tangu utoto napenda sana mabinti wenye hizi rangi adimu langi ambayo nikiiona nasisimka...
Kwa yeyote anayejua mabinti kama hawa wanakopatika katika Tanzania hii pls help me..nikaoe mmoja maana huku dar wote weupe.
Ramadhan kareem.View attachment 1097587
Thamani yao imepanda sana kuanzia awamu ya nne mwishoni hahahaaaa tena hasa baada ya wimbi la Instagram ikaja onekana kila mtu ni mweupe hahaaa...sasa si unajua the higher the supply the low the demand na low status hahahaaa....Unachosema ni kweli kabisa mimi ninaye mmoja haingiliki kirahisi wala kwa vishawishi vya pesa..tofauti na haya makungiru pori yamejichubua ngozi imekua kama nguruwe
Madam unahisi mwanao atamkubali jamaa kwa kuonganishiwa na mzazi wake?Nipe wasifu wako ili uwe mkwe wangu. Ninaye kama huyo tena kapanda we acha tu.
Utakula jeuri yakoNyumbani bei kubwa, kule ni dola 5 tu unapewa vyote viwili.
Unataka awe kuhadiNije usiku!!! fanya mpango wa namba yake kuna pesa malipo kwa kazi hiyo
Nenda South Sudan au Nothern Uganda wapo wa kumwaga au SenegalAise mimi tangu utoto napenda sana mabinti wenye hizi rangi adimu langi ambayo nikiiona nasisimka...
Kwa yeyote anayejua mabinti kama hawa wanakopatika katika Tanzania hii pls help me..nikaoe mmoja maana huku dar wote weupe.
Ramadhan kareem.View attachment 1097587
Zipo sana hadi umri fulani..baada ya hapo utaratibu wa kubadili unafanyika
Ila yote yanawezekana wakati mwingine wazazi hujua kilichochema kwa watoto wao.Nipe wasifu wako ili uwe mkwe wangu. Ninaye kama huyo tena kapanda we acha tu.
Hapo kwenye kubadili ndipo panaharibu, hizo rangi ni golden colours kwangu.
Ni kweli zinapendeza sana
Usijibadilishe sawa eeh!
Haya sibadilishi (kiunyonge)
Hahaha, eti kiunyonge.
Kwani inakuwaje kujibadili?