Niko so lonely

Niko so lonely

Hata mimi niko lonely nahitaji mtu(mwanamke) atakayekuja kua mke wangu. una umri gani wewe. Hebu elezea kidogo kuhusu wewe
 
Wajibu vijana maswali yao, wengine wanamaanisha... Nakutakia kila lililo la kheri ufanikishe..
 
Niko so lonely natamani kuwa na rafiki mwanaume asiwe ameoa,
Kuanzia 35 years.
Thanx
Weka sifa zako na ww
Una umri gani?
Lengo la huu urafiki ni nini au unatafuta mpenzi wa kukuliwaza kiaina?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom