nnunu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2011
- 654
- 230
Hiyo Tanzania bado imekuwa ni jibu tata kwangu,
lakin basi nisishughulike nalo hilo labda nina matatizo ya kuelewa.
Hayo maisha mnayoishi si ya ndoa kabisa hata kama mmefunga ndoa,
ksb ndoa kwa uelewa wangu mdogo ni,
1-kufanya tendo la ndoa kwa wanandoa,
2-kutunza,kulea familia pamoja
3-kusikilizana na kuelewana ktk shida na raha.
5-kufarijiana penye shida, kupeana furaha
5-kusaidiana,kushauriana
6-kuheshimiana,kuthaminiana
7-kujadiliana na kupata ufumbuzi ktk kila jambo linalohusu familia yenu.
na mengine mengi nisiyoyajua.
Sasa ktk hiyo ndoa yenu sidhani kama hayo yapo ktk hii miaka minne mnayoishi kwa kuigiza kuwa wanandoa nje ya jamii, mmesahau kuwa ndoa siyo ya jamii bali ni ya WANANDOA TU.
Nakusifu umeonesha upendo wa hali ya juu kwa mtoto wako , lakin hayo malezi mabovu ya baba yake yamefanya huyo mtoto apate malezi ya mama yake tu utadhani baba yake amekufa.
Kama unadhani hauwezi kuendelea kumbembeleza tena mumeo na kurudisha maana ya ndoa kati yenu, basi haina maana kuendelea kuigiza hiyo ndoa anza taratibu za kuomba talaka, ila kama unaona una vimelea vya upendo kwa mumeo basi endelea kujishusha ,mbembeleze huyu mumeo mrudishe maelewano kati yenu na hatua ya kwanza ni kurudi chumbani kwa mumeo ,ila msishiriki tendo la ndoa mpaka mkapime afya zenu hamwezi jua labda kati yenu kuna mmoja wenu alitoka nje ya ndoa kukata kiu ya kiutu uzima.
Kuhusu maendeleo ya shule mwanao jifunge kibwebwe mwenyewe kufuatilia maendeleo ya mwanao,kuwa karibu na walimu ili mjue tatizo ni nini hasa linalomsumbua huyu mtoto kimasomo ( japo naamini hayo mazingira ya home kwako inaweza ikawa sababu 1wapo, yanachangia mtoto kutokuwa makini darasani) , ni wanaume wachache sana wanaofuatilia maendeleo ya watoto wao shuleni,wengi wao wanajua jukumu lao ni kulipa ada za shule tu mengine ya Mama yao.
POLE SANA SALMA, MUNGU AKUZIDISHIE HEKIMA NA BUSARA KATKA MAAMUZI YAKO UTAKAYOAMUA KUCHUKUA JUU YA NDOA YAKO.