The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Unajua siku zote ni vizuri pia kusikiliza upande wa pili wa yule anayetumiwa kama unasema nyie wenyewe mmeongea lakini hakuna lolote liloweza kubadilika basi ni vizuri kushirikisha pande mbili za familia haiwezekani from no where muishi ndani ya nyumba pamoja lakini kila mtu analala kwenye chumba chake mwenyewe for 4 years wakati nyie ni mke na mume kuna suala ambalo linapaswa kujadiliwa na pande mbili na kila mtu akatoa tatizo la mwenzake inawezekana mumeo anaona wewe una tatizo fulani na pia wewe unaona mumeo ana tatizo fulani basi kila mtu anaona yeye yuko sahihi kumtuhumu mwenzake kuwa ndiye mwenye makosa, mwanaume naye kutokuwa kuharibu na familia inawezekana kuna kitu hapo.kiukweli siwezi kumsemea kama anatoka ama hatoki,ila kwa miaka minne yote yanawezekana ,kumpenda sidhani maana sina hisia zozote juu yake kiukweli..na ndo maana nikaja omba ushauri wenu hapa nakosea ama niko sahihi kwa upande huu..