Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
Kwanini mumezaa mtoto mmoja tu? Labda mumeo kaenda kupima na kuona hazai, na anazani huyo mtoto sio wake. Inaonekana kuna anatatizo linalo msumbua. Jaribu kuongea nae na kumuliza kiundani, ujue tatizo.
Na kama unahuhakika mtoto ni wa mumeo, mwambie akapime DNA na wote muna kizazi, ongezeni mtoto wa pili, sababu kuna wanaume wengine mpaka waone watoto wengi home kama viroboto, wanatia tia fujo na makelele ndio wanafunua mdomo kugombeza na kuwaonya, na ndio hapo jukumu lao kama baba linakuja wenyewe bila kuambiwa. Ila wakiona mtoto wenyewe mmoja tu, wewe na yeye mumgombanie huyo huyo, kwaiyo anakuachia jukumu wewe. Au labda ulijipa majukumu yote ya mtoto tokea hapo mwanzo, nae akaona sawa tu maana umempunguzia mzigo. Kwaiyo itaendelea hivo hivo, sasa haisaidi tena kulalamika, umechelwa. Na kama uhusiano wako wewe na mumeo sio mzuri, basi hata uhusiano wa mumeo na mtoto utakuwa sio nzuri vile vile. Na mtoto anajua yote juu yenu hata kama hamumwambii, na munamuaribu kisaikologia inavo onesha. Jua bora wazazi walio achana kuliko wazazi wasio elewana. Leo kachora picha za hajabu hajabu shuleni, kesho utaskia kaua mtu, au pengine akakueni nyie wazazi wake, maana anakuchukieni, anaishi bila upendo wa family, tena bora angekuwa na ndugu angetumia muda wake kucheza nao na kuongea nao juu yenu wazazi mlivo to eachother. Mie hapo namuonelea huruma huyo mtoto. Nitafute nikupe ushauri, maana nimesomea saikologia ya watoto kidogo. Labda wewe bi salma unajifanya mjuaji, ndio maana mumeo amejitoa ktk family.