Kwani wamesema warembo wao wachukuliwe au ni sheria (kwanza nasikia bado ni muswada) kuwa wanaume wa Eritrea ni lazima waoe wake wawili?Kwani unaenda kuishi huko, suala la msingi ni kuchukua warembo na kugeuza home Tz.
Unauliza jibu😉😛Kwani wamesema warembo wao wachukuliwe au ni sheria (kwanza nasikia bado ni muswada) kuwa wanaume wa Eritrea ni lazima waoe wake wawili?
Afadhari wewe umepigia msitariila sample iliyowekwa inaonyesha vitoto ni vyombo hasa duh
kama ukipata kanafasi vuta kamoja .. tabasamu matataAfadhari wewe umpigia msitari
Wabongo kutwa wanakula vibua unategemea wasiwe na vitambi mkuu!!?Wanawake wazuri sana cz awana vitambi kama wa kibongo
Ushafika wapi mkuu unisubiri?
Watoto wanamacho kama wanakuita vile😳kama ukipata kanafasi vuta kamoja .. tabasamu matata
Yupo kaka DiamondSasa mkienda huko na sisi huku je.........?....
mtu angeweka tuone namna wanavyotumia lips zao kuongea .. ukute wanasauti nyororo na maneno yanatooka kwa upole ,.. nikae kimya wanabahati sikuwa mwanaumeWatoto wanamacho kama wanakuita vile😳
ha ha hahaYupo kaka Diamond
Kwi kwi kwi kwi kwi kwimtu angeweka tuone namna wanavyotumia lips zao kuongea .. ukute wanasauti nyororo na maneno yanatooka kwa upole ,.. nikae kimya wanabahati sikuwa mwanaume
ile nchi ni islams wengi,......Kuhusu dini, hasa ukristo inakuwaje huko eritrea
kwann wanapenda kuondoka eritrea?????Hiyo nchi hutaweza kuishi, nimepita hapo. Unachoweza 'kuokoto' mtoto mmoja na kurudi nae Bongo, maana wanapenda kweli kuondoka nchini humo, lakini hawana namna tu.
Ukishafika Eritrea utaelewa. Safari yake ndefu kweli ndege ni hadi Misri ndo unapata ya kuunganisha. Ingawa nasikia Ethiopia Airline nao wapo njiani kuanza kwenda huko.kwann wanapenda kuondoka eritrea?????
mtu angeweka tuone namna wanavyotumia lips zao kuongea .. ukute wanasauti nyororo na maneno yanatooka kwa upole ,.. nikae kimya wanabahati sikuwa mwanaume
mkuu hapaa kunamambo nawafanyia wanaume hasa kwenye chapaaa sasa hicho kipati sitafaidiTechnology ilipofikia ukitaka kuwa mwanaume inawezekana ni wewe tu kuamua
Nilijitabiria kuwa lazima kuna mwanamke atauliza swali kama hili, maana mnaonekana kama kutupwa sana na wanaume wa Tanzania.Sasa mkienda huko na sisi huku je.........?....