Niko njia panda

Kiruuuu na ku mimbwa usha mimbwa!!!

Keleuwiiiiii.. You are finished source Mwisho Mwampamba!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umalaya natamaa kama hizi ndo zinawaponza hata kuolewa kwenu iwe shida, sasa hapo unaomba ushauri wa nini? Mlipoanzisha uhusiano uliomba ushauri wap? Ulikuwa hujui kama yatatokea hayo? Pumbavu!
 
Hiyo mbona rahisi,nenda kajitambulishe kwa Mkewe.

Kwa kufanya hivo utaepuka yafuatayo

1.Kufikiria namna ya kumuacha Boyfriend wako
2.Kukaa njia panda kwa kipindi kirefu
3.Kuja tena jamvini na kuomba Ushauri(kwamba mtayamaliza hukohuko)

Ndio.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mungu na anisamehe kwa ushauri wangu huu mbaya ila ndio suluhu pekee itakayomsaidia huyu dada.

iko hivi kuliko kuzaa mtoto ambaye hujui hatma yake kimalezi, na kijamii ni heri usiwe na huyo mtoto. kuliko uje umnyanyase huyo mtoto kwa kuitwa mtoto wa nje, haramu, wa kambo et al tena kwa kukusudia basi ni heri usiwe naye huyo mtoto.

siku zote za maisha yangu huwa naogopa sana dhambi endelevu ama dhambi ya mtambao. dhambi mtambao ina shina moja ila inatambaa almost ukubwa wa available space.

ningekuwa mm wewe ningekula raha za dunia na huyo baba na mtoto nisingezaa na hata hii mimba ningeitoa. ( najua huwez kunielewa ila nafikiri kwa wale waliokula chumvi nyingi kama akina Dark City, Asprin Bishanga wananielewa nisemapo haya maneno
 
Last edited by a moderator:
nashindwa sana kuelewa kwann mtu usitafute ingizo lako jipya ...............
akili za dot com siziwez
 
Haya dada gfsonwin, njoo uniulize ntaoa lini!!!:nono:

nawahurumia sana wadogo zangu manake sijui kama mtakutana na wenzi wenye mapenzi ya kweli kama sisi dada zenu.

wakati niko msichana ilikuwa ni sifa njema sana kuolewa na mchumba wako, tena ilikuwa ni heshima zaid kama utaolewa na kutoka kuanza mji wako. siku hizi naona maisha ni tofauti sana manake ni sifa kuwa single parent(ya kujitakia), na niheshima kuingilia miji ya watu.

namshukru sana Mungu kuzaliwa zamani
 
Mwanume alitakiwa ajifunze kumwaga nje. Kwani wanaume wengine mnatumia njia gani kuzuia mimba. Mwenzenu zaidi ya miaka 10 tunatumia njia hii na mke wangu wala hajawahi kushika mimba kwa kujisahau. Mwanaume ndio wa kumlaumu.
 
Hahaha...yaani huyu bi dada kanifanya nipekua kamusi yangu mahsusi kwa wale walio njia panda ndio nikapata hiyo verse!

Kwi kwiiiiiii watu8 nimechekaa mpaka bathiii

"ana hashuo la shombo la samaki, maana naona anataka aparwe magamba huyu!!"

Hii kitu unaweza kumpatia mzee Yusufu akaweka ktk mashairi yake. Dadekiiiiiii!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Asijaribu kabisa kutoa mimba maana anaweza toa na yeye akafa kwa bleeding au asipate mtoto tena maishani mwake kumbuka ukimwaga damu damu hiyo itakulilia siku zote ni kovu lisilopona.Wengi tumewaona walikuwa mabingwa wa kucholopoa mimba Mungu akawajalia kuolewa walipotamani kuwa na watoto hawakupata tena na ndoa zingine zikatiwa nyongo.
 

What goes around comes around!
 
Ndiyo njia tuliyokuwa tunatumia for the whole year it just happened
Mwanume alitakiwa ajifunze kumwaga nje. Kwani wanaume wengine mnatumia njia gani kuzuia mimba. Mwenzenu zaidi ya miaka 10 tunatumia njia hii na mke wangu wala hajawahi kushika mimba kwa kujisahau. Mwanaume ndio wa kumlaumu.
 
Siwezi kumuua kiumbe asiye na hatia tumekubaliana na yeye and i will have the baby
 
Siwezi kumuua kiumbe asiye na hatia tumekubaliana na yeye and i will have the baby
hivi unajisikiaje kushare mwanaume?yaani unajua kabisa kuwa analala na mwanamke mwingine.Bora hata kama ungekuwa hujui kama kaoa
 


mwalimu hadi ume comment namna hiii daaaaa! hii ishu ni tata kweli kweli.. ingawa mhusika ni kama kajichetua lolz.
 
mwalimu hadi ume comment namna hiii daaaaa! hii ishu ni tata kweli kweli.. ingawa mhusika ni kama kajichetua lolz.

mdogo wangu the lady seems to be unaware o the real life. not necessarily akapata shida as hakuna ajuaye future, but kwa mtu muelewa sana atagundua shimo la kujichimbia mwenyewe linautelezi zaid kuliko la kuchimbiwa.

atakuja kuyajua haya siku maisha yakiwa opposite of her wishes, ndipo atakapogundua kwamba alijichimbia shimo mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…