Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Kafanyaje tena đź’—Hapo "singo baba"![]()
Kafanyaje tena đź’—Hapo "singo baba"![]()
Nmecheka tyuuuhKafanyaje tena![]()
Ohoooo oky...Nmecheka tyuuuh
LEO CHAI HAIJAJA NA KITUMBUA ASANTENiko kwenye mahusiano na single mother yapata miezi mitatu Sasa, na lengo lilikuwa nimuoe. Huyu mwenzang naona kidogo hajatulia maana nilifuma SMS kwenye simu yake akiwa bado anaendelea kuwasiliana na mpenzi wake wa zamani nikauliza akapoa kidogo na kunambia kuwa jamaa amemtafuta kwa lengo la kumjulia hali. Ana mtoto mmoja mpaka sasa na umri wake ni miaka 20 hivi.
Wiki moja iliyopita sikuweza kuwasiliana nae ndani ya kama siku 5,maana kila nikituma SMS na ata nikimpgia simpati hewani nikashindwa kumuelewa kabisa. Siku ya jumatano alinipigia simu na kunijuza kuwa yuko Moshi kwa dada yake ikabid nimuulze ni kwa nini kaondoka bila kunipa taarifa lakin jibu lilikuwa "nimeondoka ghafla pia nilishindwa kuja kukuaga sababu nilikuw busy,naomba unisamehe" kiukwel iliniuma sana nikaona sina thamani kwake kwa lolote lile. Lakini ikabidi nimsamehe tu baada ya kuzungumza naye.
Tangu niko nae amekuw ni mtu wa kutaka pesa tu kila wakati na jana kanipigia simu nimtumie elfu 80, nikauliza ni kwa ajili ya nini anasema matumizi,nikaona isiwe kesi hiyo pesa ntamtumia jioni. Imefika muda wa saa 10 Alasiri jana nikamjuza kuwa niko nje kidog ya mji na huduma za fedha uku ni ngumu kidogo hivyo anivumilie mpaka leo asubuh ndipo nimtumie. Lakini akajibu kwa jazba"najua hunipendi najipendekeza kwako ndo maana unashindwa nitatulia shida zangu kwa wakati" Wakuu nahisi kichwa kinaanza kuuma kwa mbali nikaona hii sehemu nilipo si sahihi hata kidogo,nikatoa laini ile hewani nikaweka laini mpya hivyo mawasiliano yakaishia jana jioni.
Asubuh kaja rafiki yangu ananijuza kuwa yule binti amempigia na kumuuliza kwa nin sipatikani ama niko na mtu mwingine na tangu yeye kaondoka labda kuna mtu alishawahi kuja kwangu na mambo mengi.
Sasa niko njiapanda nimtafute ama niachane nae,msaada tafadhali
Shukran kwa ushauriSorry kwa kusema hili ila ""KUNA WANAUME NI hiii Bagoshaaaa""
Hivi hapo huoni kinachoendelea mpaka unajiuliza nibaki au nisepe.
Bro SEPAAAAAAAAAA
Single mother HAOLEWI.
#YNWA
Sawa kakaHamna future hpo jikimbilie mapema.....na unakoenda usijechukulia poa mtu wako kuchat n ex wake
Sawa mkuu nimekuelewa
Asante bro kwa ushauriKwa kabisa nitanguliye kusema samahai maana maoni ya wengine sijasomaaa
Ushauri wangu kwakoo mkuu ni kama ifuatavyoo
1: kaka hadi mtu akazaa na mtu ujue walikuwa kwenye mahusiano
2: Mwanamke akizaaa na mtu hana ujanjaa ( mfono: kuna mwanamke nilizaa naye na baadaye kajaa kuolewaa ila hata jana nimekulaa kasafiri kutoka Moshi hadi Dar ndo nimetoka kumsindikiza kurudi moshi nilikuwa naye for three days)
3: Wewe naisi ww domo zege! Huwezi kuwa na mwanamke alaiye kwishaa kuzaa na mwamme mwingine! How, why and what bro utapata tabu sanaa afu mbaya zaidi muhusikaa umejitetea ana miaka 20 hyo isiwe kifunguo wanawake kwenye umri huu ndo wasumbufu bora ungeniambia ana miakaa 26's ningeasema ongea nayee
4: katafute mwanamke mwingine! Huyo sio mke
5: wewe kula kula.huku unaangalia pembeni
6: njoo pm mm nitakupigiaa mwenyewe tuongee we are men!!
Asante
Vijana tuna kazi sana yani mtu unapata nguvu za kuoa single mother duhh yan mm hta kama mme wake alikuf siwezi maan anaweza kuwa anamuijia ndoton


nimekupata kakaWe jamaa oa tu mkishindwana mtaachana baadae. Ingawa hatari umeshaziona. Kama kweli anajua nia yako kwake na akasafiri kwenda moshi kimyakimya, pia akapotea hewani siku 5.... Unauvumilivu wa kiwango cha SGR ya Magufuli.... Unataka watu wakushauri nini hapo sasa. kama wewe bado kijana tafuta kabinti ambako hakana mkataba uliofungamana na mtu yoyote uoe ujilie vyako taratibuuu kabisa na wewe ndio uanzishe uzao wako kwake... Sio kuingilia mikataba ya watu iliyowashindaUkisema hivo unakosea mkuu,hakuwa kwenye ndoa bali alizalishwa tu mtoto na huyo mtu wake akamkimbia aliporejea ndipo naona mawasiliano bado yanaendelea
Shukran sana kwa ushauriWe jamaa oa tu mkishindwana mtaachana baadae. Ingawa hatari umeshaziona. Kama kweli anajua nia yako kwake na akasafiri kwenda moshi kimyakimya, pia akapotea hewani siku 5.... Unauvumilivu wa kiwango cha SGR ya Magufuli.... Unataka watu wakushauri nini hapo sasa. kama wewe bado kijana tafuta kabinti ambako hakana mkataba uliofungamana na mtu yoyote uoe ujilie vyako taratibuuu kabisa na wewe ndio uanzishe uzao wako kwake... Sio kuingilia mikataba ya watu iliyowashinda
25Umri wako tafadhali mtoa mada
Sawa mkuuHata ungekusanya kura za maoni nchi nzima, Bado uamuzi wa mwisho unao wewe mwenyewe, Sikiliza kile ambacho unakiaminni wewe.
Okk.....sio mbaya......achana na huyo mke wa mtu mtasumbuana.....kwa huo umri wake hana uwezo wa kukataa huyo jamaa akimuhitaji tena!......achana na hiyo ishu aisee!