NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
kaka maudhurio ya darasa la mmu naona yanaendelea kupungua day by day hapa siku za mbeleni mnaweza kujikuta mko watu wawili tu kwenye jukwaa zima
i will give u my contact tuwasiliane,,,,ok? watatuchanganya hawa watu tena sasa umeona wasema wakutane wakiwa hawana nguo,,,,
doesnt matter lakini leo lazma aniambie la sivyoo xmass hatwendi nyumbani,,,sijui ndio kuhiji si jui nin huko mambo mbele kwa mbel tuu?????????
Dah!!!! Kumbe aisee tumeliwa kabisa halafu wa kwangu nilimuamini kupita maelezo
alaaaah tuone basi kama we wa sinza na mi pia ntakuwa msinza japo sikujui?????????//
house breaker!!!!!!!!!!
doesnt matter lakini leo lazma aniambie la sivyoo xmass hatwendi nyumbani,,,sijui ndio kuhiji si jui nin huko mambo mbele kwa mbel tuu?????????
wataka nipige goti mbele za wote humu?
i am doing it for the good unajua mapenzi bila kugombana hayanogi banaa
Dah!!!! Kumbe aisee tumeliwa kabisa halafu wa kwangu nilimuamini kupita maelezo
hivi hashy amekuomba msamaha!!!!!
dawa ya moto ni moto
ukimwaga mboga namwaga ugali
nilham usemi upi hapo tuutumie kwa hawa watu wawili
lol ndugu yangu rudia post zao hapo kwa back uwasome vizuriiii,,,mi nilikuwa nakucheki tu na wewe ofro anavyokukata misemo ya kukutuliza na kukuziba macho,,,, amka bbasi kumekuchaaaa...
anmbia eti usikasirike,,,lakini hajanambia basi sweatheart nisamehe ni shetani ndio ka doo yote hayoo mana ajua atanidanganya si shetani ni yeye na afrodenz,,,, leo alkhamisi mpendwa kaandike kwenye diary yako haraka,,,

dawa ya moto ni moto nafkiri,,,,, na yuwapi huyu wako au umeshamfunga kamba kwa kiti na plasta mdomani??? Naon hasemi kimyaaa,,,
AISEE NGOJA SASA NIKAE VIZURI KUMBE MTU MZIMA NAPKWA MAFUTA MGONGONI HALAFU PEMBENI WATU :hungry::hungry::hungry:
haya mamiii....nisamehe mwenziooo...nilipitiwa tu kidogo....enhee....mwenzio nikinywa maji nakuona ndani ya glass.
tumetoka mbali weweweee mbagalaaaaa