Niko kwenye mood ya malavedavi

uuuwiiii nalionea huruma hilo tumbo na figo zako..
Maana hizi pombe za kwetu ukiwa unakunywa kama maji
na yenye inakukunywa wewe nje mpaka ndani ...lol

nitatengeneza cocktail ya long island ice tea na bura you will like it lol!!!!!!!!!!!
 
yah!!!! Yeye ameamua festive season yote atakuwa anakagua ikifika january most probably atakuwa ame expire

hahahahahaha lol eti ame expire TF wewe aaaaa...
halafu nani atachukua family business ???
 
hahahahahaha lol eti ame expire tf wewe aaaaa...
Halafu nani atachukua family business ???

definately it will be me lakini mimi ni genuine tofauti na babu kwahiyo siwezi ku-expire life time guarantee
 
nitatengeneza cocktail ya long island ice tea na bura you will like it lol!!!!!!!!!!!

hahahahahah lol
huo mchanganyiko wa hizo light gine na mavodka na bura(pombe ya mahindi)
mmmhhhh hatari..
Hii hata wataalum wa Vergas hawajawahi ona hahhahahhahah lol

itabidi we unywe kwanza na kama tumbo halija koroma
basi na mi nta kunywa otherwise si gusi hahahah lol
 

i tell you unaweza kufa au kulala mwaka mzima haujaamka
 
definately it will be me lakini mimi ni genuine tofauti na babu kwahiyo siwezi ku-expire life time guarantee

hahahahahh lol
Pole kwa ni babu haachi ngazi mpaka kieleweke...
naoana huu utakuwa uchaguzi tena..
ninachosubiri ni mtu achakachue kura tu ...lol
 
halafu mbona nahisi kama vile niko chat room lol!!!!!!!!

hahahh lol si situnaanzishaga chatroom kokote tu lol..
wajuu wote wako holiday ..wangekuwepo hapa ..
tungesha weka page zaidi ya 200 lol
 
umeona eheeeee

yaaaaapp..
mapaka mwakani ndo kutaanza kuchangamka tena lol

nway mi borea niende kulala saa 10 asubuhi sasa..
ntaingia hapa kesho kwa muda niwaage vizuri....
take care😛arty:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…