hili neno "maneno matamu" sjui kwanini nikiliona linaniongezea hamu. sjui nikaanzishe sredi JF Doctor , nazani nina marazi.
wewe ni he au she??tangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.
Lakini sasa najisikia nina hamu ya kupendana. Tena nimpate wa kumpenda kwa dhati, nimpe moyo wangu wote, awe rafiki yangu na furaha yangu.
Tucheze wote mvuani, tuangalie pamoja jua likiwa linazama, akiumizwa tulie pamoja, akitoka niwepo pembeni yake kama handbag.
Dah...
Kweli mapenzi raha, nimemiss mapenzi
hapo buluu ni mapenzi au mchezo wa kihindi?
Kumbe bado wana act kwa style hii...................nimemsi Amitabh Bacchan!
hehehe inaonekana kabisa kwamba hiyo sredi wewe hautochangia. unanilet chini bana.hahahahahah Klorokwini wewe naona mwaka mpya wako umeanza mapema lol...
sasa hamu ya nini ndugu yangu?? ndizi, ndimu au parachichi??
hahahah lol hiyo thread hiyo mmmhhh good luck....
ana mwenzie anaitwa mithun chakraboty na mke wao sri devi.......hum mere ho tum pak hee
hehehe sri devi wangu bana ! hapo mwisho usiwatafsirie, watakubanana mwenzie anaitwa mithun chakraboty na mke wao sri devi.......hum mere ho tum pak hee
hehehe sri devi wangu bana ! hapo mwisho usiwatafsirie, watakuban
ana mwenzie anaitwa mithun chakraboty na mke wao sri devi.......hum mere ho tum pak hee
amenndio desi...saita....garmila?
tafazali usiwapende hao zaidi kuliko mimi mwajiri wao. itanipa majelas na mawivu
ndio desi...saita....garmila?
mmmhhh lazima ntampenda bosi lakini
hawa wanani vutia sana...
kila nikisha waona tu hata kama thread ni ndefu kiasi gani lazima ntasoma..
maana najua ni message kutoka kwa mkuu na hao wajukuu wanashangilia lol:whoo:
amen
sayu bara geeri??
Preta we ni Muiraqi???