The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:Tuna kesi inabidi wewe na HASHY mtueleze mimi na NILHAM whats going maana mimi nahisi HASHY ananiibia AFRO wangu na NILHAM anahisi anaibiwa HASHY wake hizo appointment za kwenda sinza kwa HASHY jana leo utanileza vizuri hapa, pia na yale maua na perfume ulizompelekea jana
Obuntu is missing Afrodenzi so muuuch!
mmmmmhhh baba watoto nilizani
nguzo yetu ya kwanza ni uaminifu nini tena jamani mmmhhhhh
mbona unanitisha mwenzio hahah lol
Nilham unaona huyu mamaa anakimbia kujibu maswali yetu
sasa jamani si tu settle tu haya yaishe?
haya sasa naanza kumuuliza afro......whats up with us?
mambo ya kumpeleka maua na perfume hashy hapo kuna uaminifu kweli maana hapa mimi na nilham wote presha zetu ziko juu maana wote tunahisi tunaibiwa
haya sasa naanza kumuuliza afro......whats up with us?
aaaahhh how are Obuntu
long time?
how have u been??
HashC hembu waambie ukweli hawa maana TF kaka taa kula
eti anadai ukweli mmmhhh
HashC hembu waambie ukweli hawa maana TF kaka taa kula
eti anadai ukweli mmmhhh
haya sasa naanza kumuuliza afro......whats up with us?
sana sana ndugu yangu kila siku huyu jamaa aja na vizawadi vyenye vikopakopa nikimuuliza animbia zawadi yangu kumbe yake kapewa na h na afrodnz....
mambo ya kumpeleka maua na perfume hashy hapo kuna uaminifu kweli maana hapa mimi na nilham wote presha zetu ziko juu maana wote tunahisi tunaibiwa
huyo TF ataweza handle ukweli?.......
huyo TF ataweza handle ukweli?.......
mmmhh jamani nyie mna pressure za bure tu ..
mie na HashC hamna lolote ( ni friends with the benefit tu ) lol
mmmhh jamani nyie mna pressure za bure tu ..
mie na HashC hamna lolote ( ni friends with the benefit tu ) lol
huyo TF ataweza handle ukweli?.......