NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
haya sasa mpaka naigopa com yangu!
Hivyo sio visu ni kisu na uma,huyu anaonekana michongo yake ni chicken tikka na tanduli,yaani anaonekana ni mpenda chipsi kuku si unaona anavyojiramba!!!Na visu vyako hivyo usije nicharanga mwenzio na krismas nikaikosa
vipi kipenda roho changu ??
Nini kulikoni tena lol??
khaaaaaa aaafrodeeeenzi ni wewe kweli au macho yangu????? na finest nae keshachomoka nini????? mi nnchotaka ukweli wako mpenzi huyu hash alikwambia mukutane wapi??? halafu kakwambia usiva nguo wala nini ye hapendi ilikuwaje hebu nidokeze tuu na baba watoto wako finest leo mikono juu tangu asubuhii,,,,lakini kwa kkuwa umewasili nafkiri mambo yatakwenda vizuri tuu>>
tuna kesi inabidi wewe na hashy mtueleze mimi na nilhama whats going maana mimi nahisi hashy ananiibia afro wangu na nilham anahisi anaibiwa hashy wake hizo appointment za kwenda sinza kwa hashy jana leo utanileza vizuri hapa
Obuntu is missing Afrodenzi so muuuch!
Obuntu is missing Afrodenzi so muuuch!
khaaaaaa aaafrodeeeenzi ni wewe kweli au macho yangu????? na finest nae keshachomoka nini????? mi nnchotaka ukweli wako mpenzi huyu hash alikwambia mukutane wapi??? halafu kakwambia usiva nguo wala nini ye hapendi ilikuwaje hebu nidokeze tuu na baba watoto wako finest leo mikono juu tangu asubuhii,,,,lakini kwa kkuwa umewasili nafkiri mambo yatakwenda vizuri tuu>>
ze fainest where ya at?
waona kwa uliyo fanya sweart heart yaani kiasi ulivyomuona tuu waanza kubabaika sasa unachokiogopa ni nini hapa kama kweli hukusema vileeee??? ngoja si keshakuja afrodenz ataniambia ukweli tuu,,, we tulia .japo mahaba nitampa anidokolee yaliyojiri..
sasa jamani si tu settle tu haya yaishe?
hahahahahah lol
mmmhh bibie umeniacha hoi lol
mi TF wangu mwache tu nampaga sawa sawa akiingia huku anachanganyikiwa lol
siunajua tena bibie hawawanaume usipo wapa haswa wataanza mambo yao ambayo hayana miguu wala kichwa lol
Tf nampa mpaka anaacha mwenyewe.. jana nikampa toleo jipya ile ambayo iko kwenye fashion sasa
ndo maana mikono hateremshi lol
mmmmhhhhh Hash C mmhh aliniambia anataka kunionyeshea nyumabani kwao sinza mmhh
lakini huko hata usiende ndugu yangu kuna vitisho huko ni balaa..
sasa jamani si tu settle tu haya yaishe?
Tuna kesi inabidi wewe na HASHY mtueleze mimi na NILHAM whats going maana mimi nahisi HASHY ananiibia AFRO wangu na NILHAM anahisi anaibiwa HASHY wake hizo appointment za kwenda sinza kwa HASHY jana leo utanileza vizuri hapa, pia na yale maua na perfume ulizompelekea jana