Niko Kimara kwenye tamasha

Niko Kimara kwenye tamasha

hee jamani kama nimelikosa hilo tamasha kwani inina mikazi kibao hapa ofisini
sijui nitamaliza saa ngapi nije jamani utanihadithia litakavyokwenda bestito

Tamasha limeisha jmosi ijayo ni ngazi ya dayosisi yatakuwa mbez bichi
 
Ha ha haaa
Usiniambie ndo utakuja kutia hiyo bezi yako bila mazoezi;
Labda hizi siku mbili tuongee na ticha akupe zoezi la
kushika maneno si unajua kule hakuna kushika kitabu
yote ni kutoka moyoni.

na mimi nitakuja jumamosi hii, nina bezi balaa
 
Back
Top Bottom