Niko JF miaka miwili sasa

Maromansi leo umeyaanza mapema hivi !
Nway nadhani hibaridi cha msimu ndy chagizo.
Mambo zako 52?

Mambo poa bro.
Mi na Chocs maromance mwanzo mwisho hakuna kuremba aisee
 
Last edited by a moderator:
uwa nawaza kuunga undugu na wewe kwa anko, ila ndugu yangu wewe Erickb52 umekuwa mjanja mjanja sana hapa mjini mpaka napata kweshenmaki

Heeeeehheee
Leo mambo yetu yanaisha aisee usijali C6 ila nawewe ujiandae kuleta posa
 
Last edited by a moderator:
C6 I am so humbled of your acknowledgement... Hongera sana kutimiza miaka miwili hapa Jf, na nakuombea maisha marefu uweze kutimiza na mingine miingi ijayo. Nakupa a dedication ya wimbo wa Jay Z akiwa na Mr. Hudson wa "Forever Young".

 
Last edited by a moderator:
Tena naomba leo usichelewe kurudi maana................
Hahahahaaa zimejaaaa eeh
Usijali nakuja kuzimaliza zooooooote hadi mwenyewe usipate hamu ya kuniona kwa muda.
 
Hoongeraaaa tu yuuuuuuuuu______________:A S thumbs_up:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…