ha haaaa, mi sijasema kitu hapo. 2013, dunia ni yako, chaguo ni lakoKwani nakosea dada mkubwa @FP
umeona eeehhhh!my dia FP inaonyesha possibility inayohitaji bidii ya ziada
he heeeee, afadhali muniwache......patachimbika bureutamuweza FP wewe? muache tu hivyo hivyo
ha haaaa, umeona eeehhh!naanza kuona mtandao wa tuko wangapi kwa mbaaali
utamuweza FP wewe? muache tu hivyo hivyo
ha haaaa, mi sijasema kitu hapo. 2013, dunia ni yako, chaguo ni lako
umeona eeehhhh!
ukiona maex wanaambiana hakuhitaji kutongozana............ nenda extra mile au ujilie pozi kuuuubwaaaaa kama mimi dia wako