Niko Chalinze, niende wapi kwenye kiwanja cha bata?

Niko Chalinze, niende wapi kwenye kiwanja cha bata?

Hello JF,

Niko nafanya tour. Tumeshuka hapa na private tunaelekea Dar for sikukuu lakini naona pamepoa kiaina.

Wenyeji mnishauri niende wapi.

  • Kiwanja kizuri cha kustarehe
  • Kiwanja cha pombe kizuri
  • Kiwanja cha misosi hatarii
  • Sehemu nyingine amazing n.k

Niwekee code

#+255
# -OH
nk

Pesa unazo?
 
Hapo bondeni Travellers karibu na White Inn Hotel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom