Dareda mtu wangu wapo kama wote bata weusi na weupeNiko babati Manyara... nipeni chimbo la bata 😎😎
Jiangalie kijana watu tupo msibani...Niko babati Manyara... nipeni chimbo la bata 😎😎
Tafuta bodaboda yoyote hapoNiko babati Manyara... nipeni chimbo la bata 😎😎
Unataka kusema hata mume na mke wameacha kunyanduana kwa vile nchi ipo kwenye panic mode?Huu sio muktadha wa kuulizana machimbo ya bata kenge wewe. Nchi ipo kwenye paniki wewe unaulizia bata? Hata hao bodaboda wa manyara nenda nao taraibu wakijua umeendekeza bata kipindi wanaweza wakakutia mtaroni makusudi.
Hhahah nazungumzia hiyo ya kwenda kujirusha kama sherehe asee. Mume na mke hiyo ni wajibu sio starehe.Unataka kusema hata mume na mke wameacha kunyanduana kwa vile nchi ipo kwenye panic mode?
Mkuu, pamoja na majanga tunayopitia, vitu kama kula, kwenda chooni, kunyanduana haviepukiki.
Nakuja hapo nikuelekeze chimbo la bataNiko babati Manyara... nipeni chimbo la bata 😎😎
Nakuja hapo nikuelekeze chimbo lNiko babati Manyara... nipeni chimbo la bata 😎😎
Una maana gani bro sijakuelewaTuko kwenye harakati za kukomboa nchi wewe unaulizia mavi