Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,102
- 23,690
- Thread starter
- #21
Nimeisikiliza kwa miaka mingi sana huwa ninayo miaka yote kwenye deviceKasikilize tena
Nimeisikiliza kwa miaka mingi sana huwa ninayo miaka yote kwenye deviceKasikilize tena
HistoriaNimeisikiliza kwa miaka mingi sana huwa ninayo miaka yote kwenye device
Juma Nature? Juma Nature huyu huyu wa mugambo?List yangu, haija zingatia order.
Mangwear
Afande sele
jay moe
Professor jay
solo thang
Fid q
Mchizi mox
Sugu
Juma nature
Mwana fa
Juma Nature? Juma Nature huyu huyu wa mugambo?
🔥🔥🔥Nimetoka kusikiliza siri ya mchezo, Farid kubanda,
Kuna muda vitu anavyoimba kama hujatulia au unatumia shisha, huwezi kuelewa.
Mwandishi wa hii topic NI kichwa Sana sitaki kuelezea Sana Ila kama unajua history ya tamaduni muzik na kama umehudhuria kilingeni msasani B hutambishia Mimi Nina Ngoma zote za Nikki na Nina interview zake zote..Nikki NI kichwa ukonga stand up pole kwa kumpoteza Baba yako babu malcom
Ila pia baada ya Nikki namkubali ghetto ambassador pia na kad goUmesema vyema mkuu, Nikki Mbishi ni kichwa sana mimi nimeshamvika ufalme wa Bongo HipHop. Ukimfuatilia ndio utaelewa Bongo tuna hazina kwenye HipHop Unju
Biashara ya utumwa ulisikiliza ya juma feat ambweneJuma Nature ukitoa "Hili Game" sijaona ngoma nyingine ya maana aliyopasuka kama rapa
A.Y wakati anaanza game alikuwa wa moto sana ngoma kali ya mwisho ya A.Y ni "Usijaribu"
Hapo nakuunga mkono kwa Prof Jay, Mchopanga, Ngwair, Fid Q
Umekosea uzi mkuu, we subiri wa ZuchuNikki Minaj ndio nani huko Daslam?
Kivipi nikki wa kwanza na wapili hajulikani/kwa flow stanza unapata amani/Goodboye,bad boy mtani niaje nivipi/wana wanadiss mtaani sisikiki ZOHAN,UTINGO,TISHIO,JOGOO DR UNJU SALUTE!Nikki Zohan, Baba Malcom, Unju Bin Unuk, naweza kusema ni miongoni mwa marapa zangu bora wa wakati wote.
Kuanzia Lyrical ability, Theme, Cohesiveness, Frestyle, Punchline, Skill, Performance, Sound, Rhyme Schemes, Rhyme Patterns, World Play, Strategic Features & Lyrical Content, all on point!!!
Shida wengi wanapenda mashairi ambayo hayaumizi (hayaishughulishi) ndonga. Then mtu anakwambia anapenda HipHop
Nikki ana ngoma kali yingi sana ni vile mashabiki wa bongo sijui hatuujui muziki au tunasikilizaga muziki kupitia kwenye redio pekee hatuna access ya kusikiliza miziki kwa kutumia means nyingine kitu ambacho sio kweli nafikiri wengi wetu hatujui muziki.
Sina mengi fuatilia muziki wake unajieleza.
Super talent and well educated person
Umesema vyemaUmekosea uzi mkuu, we subiri wa Zuchu
🔥🔥🔥Kivipi nikki wa kwanza na wapili hajulikani/kwa flow stanza unapata amani/Goodboye,bad boy mtani niaje nivipi/wana wanadiss mtaani sisikiki ZOHAN,UTINGO,TISHIO,JOGOO DR UNJU SALUTE!
Kama hamna John makini bado batiliUko sahihi Juma Nature huwezi kumweka katika list ya wasanii wa HipHop