BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,045
- 10,476
Nyimbo inaitwa what if I was gay kazi ya Eminem akishirikiana na Joyner Lucas ni kazi iliyotoka mwaka 2019.
Uhalisia ni kuwa hip hop ni miongoni mwa sign za umwamba(kiumeni) na inaonekana ni muziki wenye potential kutokana na lyrics zake kubeba ukweli na kusimama kama mkombozi wa kifikra kwa jamii.
Mara nyingi kusikia ushoga kwenye rap ni nadra sana ukilinganisha na kwenye aina nyingine za miziki kama taarabu na bongoflava.
Swali nini kiliwakuta Eminem na mwenzake Joyner Lucas kukaa chini na kuanza kuandika lyrics za wimbo ambao unaitwa what if I was gay?
Kibongo tungesema Fid q na Nikki mbishi watunge nyimbo ambayo itaitwa kama ningekuwa shoga.
From northern part of Tanzania.