Afu ajabu watu wenye maono kama sisi ndo hatupati madaraka yani mimi nikipata madaraka Tanzania nahisi itakuwa kama kwa watu weupe
MUNGU NISAIDIE
ukicheki mitaaa ya kipindi cha ukoloni hadi raha ilivyopangika. weusi wamekuja wamechafua miji yote. unakumbuka hadithi ya Brown ashika tama? Brown angekuja Afrika ya weusi leo angecheka hadi machozi.kila siku naimba roho nyeusi haiwez kuwa nyeupe!mweupe atabaki na roho yake nyeupe tu milele!hii africa wallah mzungu arudi tu
MatMatatizo yetu waafrika yapo penye damu ndio maana ukienda Kenya Uganda Zambia Congo matatizo yanafanana sijui viongozi wetu wamesoma chuo kimoja na mkufunzi mmoja kawa fundisha wote maana sio kwa ulafi walionao u mimi umewazidi mpaka kichefuchefu .Usisahau Cuba pia kuna watu weusi tii kama sisi, hata makamu wao wa rais ni kama yule jamaa wa zanziba balozi Seif Ali Idd kwa rangi zao wana fanana.
Tatizo liko Afrika, yaan bara hili
Lina dis advantage ya ki historia
Viongozi wa sio na maono ya mbele
Viongozi na wana nchi wabinafsi wana kosa uzalendo.
Afrika kwa kweli ni bara la giza, hasa ki utawala na kidemokrasia
Up viongoz ni raia viongoz ni matokeo ya jamii yenyewe msisingzie viongozUsisahau Cuba pia kuna watu weusi tii kama sisi, hata makamu wao wa rais ni kama yule jamaa wa zanziba balozi Seif Ali Idd kwa rangi zao wana fanana.
Tatizo liko Afrika, yaan bara hili
Lina dis advantage ya ki historia
Viongozi wa sio na maono ya mbele
Viongozi na wana nchi wabinafsi wana kosa uzalendo.
Afrika kwa kweli ni bara la giza, hasa ki utawala na kidemokrasia
Yes upo sahihiTatizo la Africa s
Up viongoz ni raia viongoz ni matokeo ya jamii yenyewe msisingzie viongoz
Waafrika akili tunayo ila tumo kifungoni, naam kifungo cha tabia. Tàbia ina Nguvu kuliko akili. Lakini sioni kama kuna Muafrika anabaguliwa, kilichopo ni kuwa Muafrika anajibagua mwenyewe kwa kutoendana na mazingira ya kizungu.
Sure...liko tatizo..kubwa mno1. Nikifikiria inakuwaje Cuba na NK wanavikwazo vya kiuchumi lakini wanatuzidi maendeleo? Wananchi wake wanahuduma bora za Afya, elimu, maji, umeme nk. si kuna uduni wa akili hapo? Kuna ubaya kujitenga na mtu mwenye akili duni/mpumbavu?
2. Inakuwaje nchi zina maji na ardhi ya kutosha lakini hazijitoshelezi kwa chakula? Si inamaanisha watu wake ni duni kiakili?
3. Weusi wamechukua nchi SA wanachofanya ni kuiba na kuporomosha uchumi, unaweza kuheshimu watu kama hao? Utatamani kuishi nao karibu?
4.Hivi unaweza kuheshimu watu wanaochukia nywele na rangi yao?
mi naona watu weusi tunastahili kabisa kubaguliwa.
Sema 'astaghafirullah' , omba msamaha kwa Mungu haraka. Mungu anakosea?!! Natamani ungeumbwa mende uishie kula mimavi chooni.KOSA KUBWA ALILOLIFANYA MUNGU NI KUUMBA MTU MWEUSI