kaka hapo hata Rav 4 hupati harrier jipange na 18-20
Jaribu kutembelea website hiyo niliyobandika hapo juu.
Haina utapeli mkuu?
We ushapata yako?
Maana hiyo kampuni ni ngeni masikioni na machoni mwa wengi!!
Ina representatives hata Tanzania. Mie nilishaagiza gari toka kwao na mnada wao naangalia kila siku.