Nikiwa kama Rais wa Mashabiki 'lia lia' wa Bendi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana hapa JamiiForums naomba kuwajua Wenzangu tafadhali

Kora Awards zilianza mwaka gani? Na unajuwa mfumo wanaotumia kuwapata washiriki?

Kuifananisha Wenge Musica Bcbg 4 by 4 na Extra Musica ni ukosefu wa adabu na ni kielelezo umeujuwa muziki huu wakati Mkapa anaingia madarakani.

Acha kabisa utachekwa, Extra Musica ni takataka tu mbele ya Wenge iliyokamilika, Albam yao unasikiliza nyimbo ya kwanza mpaka ya mwisho bila kuchoka.
Matani wangu Matola mambo vipi
 
Rekebisha hapo katika Jina la Ali Mponda na weka Jina sahihi la Ally Mbonda Mkuu.

Kuvunjika kwa Wenge Musica BCBG 4 X 4 ( Les Anges Adourables ) ilikuwa ni Kazi ya Koffi Olomide na Watu wa Serikali mpya iliyokuwa chini ya Hayati Rais Desire Laurent Kabila kwa kile ilichodaiwa kuwa Bendi hii ilikuwa ikifadhiliwa na kupewa Jeuri na aliyekuwa Mtoto Kipenzi wa Hayati Rais Mobutu Seseseko aitwae Jose Kongolo Mibeko ambaye alijiua katika Mto Congo akiwa anatoroka nchi baada ya Kusikia Wanajeshi wa Nyamulenge wameshaichukua nchi Congo DR ( zamani Zaire )

Karibia Nyimbo nyingi za JB Mpiana na Bendi ya Wenge Musica yake ( yao ) ni lazima tu kuna sehemu utasikia akimuimba au wakimuimba huyu Jose Kongolo Mibeko na mwishoni wakiongezea na Jina lake la Utani walilompa la Saddam Hussein ila katika Nyimbo utasikia wanarembesha kwa kusema Sadamisele.

Imetumika Nguvu Kubwa kuiua Wenge.
Kwa kweli Anguko la Wenge unaweza fananisha na Anguko la USSR. Lakini, kwa hatua iliyokuwa imefikia, ilikuwa ni lazima ife. Tayari ilikuwa na wanamuziki wakubwa mno, kiasi ilikuwa Wenge haiwezi kuwahandle tena. Ili muziki ukue, basi it was natural wenge ife. Ukitazama Make-up ya Wenge, ni tofauti kabisa na band kama QLI, wenge haikuwa Mtu mmoja, Wenge ilikuwa Kila mwanawenge.
 
Kora Awards zilianza mwaka gani? Na unajuwa mfumo wanaotumia kuwapata washiriki?

Kuifananisha Wenge Musica Bcbg 4 by 4 na Extra Musica ni ukosefu wa adabu na ni kielelezo umeujuwa muziki huu wakati Mkapa anaingia madarakani.

Acha kabisa utachekwa, Extra Musica ni takataka tu mbele ya Wenge iliyokamilika, Albam yao unasikiliza nyimbo ya kwanza mpaka ya mwisho bila kuchoka.

mashabiki wanaaa bana, Kora ilianzishwa 1994 na kuanza kutoa Tuzo 1996.
 
GENTAMYCINE leo umenipa shule bila kulipia ADA, JP Mpiana hua anapenda sana kulitaja jina la Saddam Hussein kwenye nyimbo zao, nilikua najiuliza huyu Saddam Hussein Aliyewahi kua Rais wa Iraq wana uhusiano gani na Wenge BCBG! Sikuwahi kujua kama hua anamtaja mshikaji wao Sadamisele, Jose Kongolo Mibeko

Theodor Ngiama Obiang
Adolph Muteba Chilamwina
Jose Kongolo
Hamed Bakayoko
Pedeshee Dariol Mulongo
Adam Bombole
Fabrice Wasepe
Patricke Bolonya
Mohamed Munuo
 
Katika hizo Nyimbo za Masuwa na Ndombolo ndipo Watu waliujua Uwezo mkubwa wa Kughani au Kurapu ( Wakongo wanaita Atalaku ) aliokuwa kuwa nao Mwalimu wa Marepa ( Atalaku ) wa Kizazi cha Pili aitwae Tutu Calugi ( jina Kamili Yombo Lumbu ) kwani alizinogesha vilivyo hizi Nyimbo.

Najivunia Kuipenda Wenge BCBG Mkuu.
Goma la Internet huwa naona Calugi aliitendea atalaku haki
 
Ndiyo Wimbo bora wa Rhumba ( Mziki wa taratibu ) ambao umemfanya JB Mpiana na Bendi yake ya Wenge BCBG Kupendwa, Kukubalika na kuwa Tishio Congo DR nzima na huku Kwingineko.

Na huo Wimbo JB Mpiana aliuimba kwa 'Hisia' hizo za juu kwakuwa alikuwa akimuimbia aliyekuwa Mkewe ( Mpenziwe ) wa muda mrefu na aliyempenda sana Amida Shatur ambaye baadae alimsaliti kwa Tajiri ( Pedeshee ) Didi Kinuani ( kama sijakosea ) na baadae kutoka na aliyekuwa Rais wa Congo DR Joseph Kabila.

Ila kwa sasa inasemekana Wawili hawa wamesharudiana kwani walishazaa Watoto wao akina Junior Mpiana ( wa Kiume ) na Suraiya ( wa Kike ) ambao katika Album zote za JB Mpiana huwa anawataja ( anawafagilia ) kama ambavyo hata Koffi Olomide nae hupenda 'Kumfagilia' Mwanae katika Nyimbo zake aitwae Didistone.
Didistone, Saint James, Rocky, DelpieroMorniho ila maarufu ni Didistone ambaye amegraduate digrii ya uanamitindo mwaka huu 2021 na ni mwanamitindo anayekuja kwa kasi binti mdogo miaka 21
 
Rapa aliye Tishio kwa sasa ni GENTAMYCINE ( Pitshou Lisimo ) wa Bendi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana japo hata akina Bill Clinton ( Mukeba Kalondji ) pamoja na Gesac aliyekuwa akirapu kwa Felix Wazekwa kabla hajahamia kwa Koffi Olomide na Bendi yake ya Quarter Latin ambapo alifanya Kazi kubwa katika Album ya Monde Arabe hasa ule Wimbo mtamu wa Respect.
CNN Alligator jamaa alikuwa noma sana kwenye Quarter latin
 
Screenshot_20211218-175134.jpg

Hii ni moja ya Rumba kali sana ya Mpiana. Hebu soma mashairi yake, utakubaliana nami jamaa anaandika tungo zilizofaa hata kuwekwa kwenye kitabu cha Nyimbo bora za kwenye Biblia.

L’harmonie la plus douce est le son de la voie de celle qu’on aime / HAKUNA SAUTI ILIO NYORORO KUZIDI YAYULE UMPENDAE KWA DHATI!!!

Lisapo ongee, Yoka histoire d’amour / HADITHI NJOO, SIKILIZENI HADITHI YA MAPENZI !!!

Ya grand saoudien, Papa na eve / HADITHI YA GRAND SAOUDIEN, BABA YAKE MZAZI NA EVE

comme dans un conte de fée eh ehh eh eh he ,A Travers mongongo ya Bin Adam ako nzemba / HADITHI HII NAIONA KAMAVILE NDOTO, ILIOTHIBITISHWA NA KUTOKEAKUA KWELI KUPITIA SAUTI YA JB MPIANA !!!

Pour caresser ba tympan ya molongani na ye, Jeanette Bombole eh eh super / UZURI WA SAUTI HIYO, IKAFIKIA HADI KUKIPAPASA KWA UNDANI, KIWAMBO CHA SIKIO CHA MPENZI WAKE, AMBAE SI MWENGINE BALI NI JEANETTE BOMBOLE SUPER !!!

Lisapo onge eh eh yo,Lisapo onge eh ,Yoka histoire d’amour / HADITHI NJOO, SIKILIZENI HADITHI YA MAPENZI !!!

Ya grand saoudien,Papa na eve / HADITHI YA GRAND SAOUDIEN, BABA YAKE MZAZI NA EVE

comme dans un conte de féeeh eh eh, A travers mongongo ya JB Mpiana ako nzemba oh / HADITHI HII NAIONA KAMAVILE NDOTO, ILIOTHIBITISHWA NA KUTOKEAKUA KWELI KUPITIA SAUTI YA JB MPIANA !!!

Pour caresser ba tympan ya molongani na ye,Jeanet bombole he he he superrr / UZURI WA SAUTI HIYO, IKAFIKIA HADI KUKIPAPASA KWA UNDANI, KIWAMBO CHA SIKIO CHA MPENZI WAKE, AMBAE SI MWENGINE BALI NI JEANETTE BOMBOLE SUPER !!!

Il était une fois dans mon berceau de bébé amour / NAKUMBUKA BADO WAKATI NIKIWA MTOTO, MPENZI !!!

Obimelaki nga lokola angelou grabriel / NIMEKUONA WANITOKEA USINGIZINI KAMA VILE MALAIKA GABRIEL !!!

Kasi message omemelaki nga j’avais pas pigéee amourrrr / ILA UJUMBE WAKO ULIONILETEA WALA SIJAUZINGATIA VILIVYO !!!

Nzoka ezalaki po oya ko souffler nga a l’oreille Kombo ya jeanet kalonjiiii / / KUMBE WAJA KUNINONGONEZEA SIKIONI JINA LA JEANNETTE KALONDJI !!!

Sosie ya Joconde ya de Vinci / SOSIE KAMA ILIVYO PICHA YA » JOCONDE » KAICHORA DE VINCI !!!

Molongani ya vie na nga si je savais / MWENZANGU WA MAISHA,LAITI KAMA NINGEFAHAMU NAKUGUNDUA HILO TOKEA ZAMANI !!!

mbele na s’embrouilla te na ba chérie na perda trop temps / KAMWE NISINGE THUBUTU KUJICHANGANYA NA KWENDA KUVIJARI NA VISICHANA VINGINE,KWA KWELI NAJIKUTA KWA KIASI GANI NIPEPOTEZA MDA WANGU BUREE !!!

à toi chérie Mon coeur s’offre trésor pour ton coffre ,Bombango jalousement / KWAKO MPENZI NATOA MOYO WANGU KAMA HAZINA, NAKUOMBA UIFADHI KAMA INAVYO HITAJIKA !!!

Il était une fois ba baptisaki ngai na nsango / ULIPO WADIA MDA AMBAO NILIBATIZWA NA PADRE !!!

Tout petit na yebaki te que prenom na Ngai adam / WAKATI BADO NIKIWA MWENYE UMRI MDOGO, WALA SIJAFAHAMU KABISA KAMA JINA LANGU LAPILI HUA NAITWA ADAM !!!

ebanda na lettre ya yambo Ya alphabet eh jeaneeet / JINA AMBALO HUANZA NA HERUFI YAKWANZA KABISA KWENYE ALFABETI !!!

Tina nango lelo nayebi nazali le premier / LEO HII NAELEWA NAKUTHIBITISHA YA KWAMBA MIMI NDO NACHUKUA NAFASI YA KWANZA !!!

Se mobali moko seul habitant de ton coeur / MIMI NI MWANAUME PEKEE NILIE HIFADHIWA MOYONI MWAKO !!!

Terre promise eldorado nangaah / MAKAO YA INCHI NILIOPEWA KAMA AHADI, ELDORADO YANGU !!!

Ye ba cherie azanga la vie ezalaka te / ELEWA MPENZI, KILA KIUMBE ANAYO MAISHA YAKE !!!

Ekelamu ya yambo nzambe apesa kombo adam / KIUMBE CHA KWANZA KUUMBWA, MWENYEZI MUNGU KAMPA JINA LA ADAMU !!!

Okelama pona nga lokola sarah Pona abraham / UMEUMBWA PEKEE KWA AJILI YANGU, KAMA ALIVYOUMBWA SARAH KWA IBRAHIMU !!!
jeanette bombolehhhhh

Ye ba chérie azanga la vie ezalaka te / ELEWA MPENZI, KILA KIUMBE ANAYO MAISHA YAKE !!!

Ekelamu ya yambo nzambe apesa kombo Adam / KIUMBE CHA KWANZA KUUMBWA, MWENYEZI MUNGU KAMPA JINA LA ADAMU !!!

Okelama pona nga lokola Sarah Pona Abraham / UMEUMBWA PEKEE KWA AJILI YANGU, KAMA ALIVYOUMBWA SARAH KWA IBRAHIMU !!!

nde akesa lisusu Rebecca pona Isaac / KAMA ALIVYOKUA REBEKA KWA ISAKA !!!
Jeanette bombolehhhhh

Leonard de Vinci lamuka ah ah ,po osalalela ye portrait grandeur nature / NAKUOMBA UFUFUKE LEONARD DE VINCI , NJO UMTENGENEZEE, KWENYE BANGO MCHORO MKUBWA WA PICHA YAKE !!!

ndenge osala ya Joconde sosie na ye, ba tiaka na ba ronds points surtout na victoiire / LILINGANISHWE NA LILE BANGO LA MCHORO WA » JOCONDE « , MCHORO HUO WA PICHA YAKE, IWEKWE KWENYE MIZUNGUUKO YOTE BARABARANI (ROUND ABOUT ), HASA PALE KWENYE MZUNGUUKO WA VICTOIRE

bakoma madame ya adam bombole / KWENYE BANGO HILO ,WAANDIKE MANENO HAYA : ( HUYO NI MKE WA ADAM BOMBOLE ) MRS ADAM BOMBOLE !!!

bato bayeba que aza occupé eh eh pardon / ILI WATU WATAMBUE KWAMBA ANAE MMEWE!!!

Gianni soki o voyager brusquement / GIANNI, KAMA WACHUKUA UAMUZI GHAFLA WA KUTAKA KUSAFIRI !!!

Nzela ya aéroport pleine de ba feux rouges / BARABARA IENDAYO UWANJA WA NDEGE, INAYO TAA NYINGI ZA TRAFIC !!!

Nako corrompre mokumbi ya ambulance / NIKO RADHI KUMPA RUSHWA DEREVA WA GARI LA WAGONJWA !!!

Amema nga soit disant accidenté eh eh / ANICHUKUE NA KUNIPELEKA KWA HARAKA, KAMA VILE MAJERUHI WA AJALI YA GARI !!!

Bapesa biso nzela priorité / WATUPE KIPAUMBELE BARABARANI !!!

Nakuta yo avant osala checking / NIFAANIKIWE KUFIKA UWANJA WA NDEGE KABLA HUJAFANYIWA UKAGUZI !!!

Na annuler voyage na yo amour please / NIPATE FURSA YA KUZUIA SAFARI YAKO HIYO ISIWEPO, PLEASE , MPENZI WANGU !!!
Ehhh jeanette kalonji ihi

Motema nanga sango ya bolingo oh oh ro / MOYO WANGU NIKAMA PADRE WA MAPENZI !!!

Esalelaka yo messe a tous les jours / KILA KUCHAPO HUA NAKUFANYIA IBADA !!!

Pona elongi na yo jamais plier / KAMWE SIPENDELEI KUKUONA MWENYE USO WA AIBU !!!

Elongi na yo jamais ko mériter,Ata mwa elembo ya linzaka / UREMBO WA USO WAKO ULIVYO, KAMWE HAUHITAJI UONEKANE NA ALAMA ZA KUCHA !!!

Kobeta mwasi kitoko comme toi jeanette, Eleki crime oyo ya barabassse eh eh ehe he / KUMPIGA MWANAMKE MREMBO KAMA ULIVYO WEWE » JEANNETTE « , NI ZAIDI YA UHALIFU, KUZIDI ULE WA BARNABAS !!!

Ehhh maman na eve ,patou bombole

Pepe Kallé Yampania lamuka ah,Oyembela ye nzembo kitoko / PEPE KALLE YAMPANYA , NAKUOMBA UFUFUKE, NJO UNIIMBIE WIMBO MZURI !!!

Ndenge oyemba ya mbula mwana / KAMA ULIVYOIMBA WIMBO WAKO WA » MBULA MWANA » !!!

Vieux josky kiambukuta yemba, Maman jeanette ndenge oyemba baby baby ehh / MZEE JOSKY KIAMBUKUTA, NAKUOMBA UIMBE WA WIMBO WA MAMA JEANNETTE, KAMA ULIVYOIMBA WIMBO » BABY » !!!

Jeanet eh Bombole he

Mayele masili ngai / UJANJA WANIISHIA !!!

Nakomi zoba ,po nalelaka yo ehh / NAKUA KABISA MJINGA, KUTOKANA NA MAPENZI YANGU KWAKO !!!

Amida Shatur, Nalekaka yo eh / AMIDA SHATUR, HUAGA NAKUPENDA SANA !!!

Ah ndeko, basi ba lova yo? / AH DADA YANGU, HIVI KWELI UMESHAWAHI KUPENDWA ?

this is love!

Credit: L.L
 
View attachment 2048891

Ndio maana kweli wadau huwaza huyu mama alimroga JB.

Hapa mwishoni anaimba kwa hisia sana.

Nakomi zoba ,po nalelaka yo ehh
Amida Shatur nalekaka yo.

NAKUA KABISA MJINGA, KUTOKANA NA MAPENZI YANGU KWAKO !!!
AMIDA SHATUR, HUAGA NAKUPENDA SANA !!!

Cc: GENTAMYCINE
 
Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi?

1. Champion Kapangala ( Sebene )
2. Omba ( Rhumba )
3. Wallah Danico ( Sebene )
4. Sans te Toucher ( Rhumba )

Kama una 'updates' zozote za kuihusu Bendi hii yetu pendwa ya Wenge BCBG yake JB Mpiana tafadhali karibu utupatie kwani hii Bendi ambayo Mbinguni kwa Mungu Baba inapendwa na imebarikiwa kabisa.

Wenge BCBG ni Mashine ya Muziki hasa!
Good
 
Back
Top Bottom