Haaaaa haaaa haaaaaa! dah!Yaani najikuta tu natembea kama baunsa yaani kuna kamwendo flani hivi ambako sio kangu, maringo sio maringo, kibabe sio kibabe. especially kama tunaingia sehemu yenye watu wengi alafu kifaa kiwe mpingo. Nakumbuka kuna msichana mmoja alishanishushua akaniambia "kwani ukitembea normal kuna shida gani" maana na huu wembamba alafu natembea kibabe eti. Kwa kweli nimejaribu kuwa normal nimeshindwa. labda nikiowa.
Haaaaaaahaaaaaaahaaaaaaa benteke banah bora utembee kawaida ila linapokuja swala la kuvamiwa kidume unapigana ile mbaya utaosha kwa huyo mwanamke wako mpaka visivyoosheka kuliko kutembea kibabe afu zali linapotokea nduki za hapo au unakuwa mdogo kama piritoni.