Nikita season 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikita season 3

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by koo, Apr 27, 2012.

 1. koo

  koo JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani kwawale wataalam wa it naomba msaada niweze kujua jinsi nitakavyo weza kupata hii series ya nikita bure kwenye net naitamani sana na siwezi kusubiri cd za kichina nina gb zakutosha lakini sina taaluma yakuweza ku download bure plz wakuu naomba msaada.
   
 2. m

  mfocbsjut JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nikita season 3 bado haijatoka. Imefikia season 2 episode 19. Unaweza kudownload kwa kutumia torrents. Download kutumia site ya www.kat.ph
   
 3. koo

  koo JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu nielekeze zaidi mbona napata maruerue kwani inaonekana kama kuna mlolongo mwingine nisio ujua nataka nipakue kuanzia ep1 mpaka mwisho niwezeshe mkuu
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mbona season ziko 2 tu!!?
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  dah mkuu hii heading yako kidogo initie presha, season 3 wakati watu tupo season 2 e19 na tunajiona tuko latest...nlitaka nishangae hiyo 3 imeanza lini? anyway, kwa kukusaidia GONGA HAPO CHINI ila ni lazima udownload na kuinstall UTORRENT (hii search google watakupa fasta tu):

  Download nikita s01 Torrents - KickassTorrents

  hiyo ni season one, kutokea hapo unaweza ukawa unasearch kila epsode kwa kuandika jina, season number na episode number kwenye search box...,f (NIKITA S02E01) itakuletea links nyiiingi we unachagua uipendayo tu!!!
   
 6. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mkuu epsode ya 20 tayari ipo hewani : http://kat.ph/usearch/nikita%20s02e20/
   
 7. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wakuu sio siri sikumbuki the last time nilitumia torrent hehe! hii nijia ya more faster to get any series you want na without any torrent software needed, kwa mfano lets try nikita s02e20:

  Kwanza nenda FilesTube - Search & Download Files

  katika search bar andika kwa mfumo huu "jina la series" "season ya ngapi" "episode ya ngapi" like hapa ni:

  nikita s02e20


  then ikisearch angalia kushoto hosting site chagua megashares:

  Then italeta results kibao chk hii page : Nikita s02e20 - free download - (10 files)

  kama mp4 zipo chagua mp4 coz huaga ni 250mb na the best HD Quality, au kama hamna kabisa chagua avi but hawaga around 350mb.

  After that chagua ya kwanza ambayo kwa sasa ni Nikita S02E20 HDTV x264 LOL na fungua iyo link and you will get this download link:

  Megashares - Drag. Drop. Yup. The first site to provide FREE file hosting with drag n drop support.

  sasa copy that nafunga: Link Premium Generator | Generate Premium Links

  then ipaste pale kisha click GENERATE na after 2 seconds scroll download na download your episode:

  utapata direct link kama hi:

  http://rapidgen.net/get/ZfyXH/Nikita.S02E20.HDTV.x264.LOL.mp4


  Just do the following steps kwa episode yoyote ya series yoyote na utaishusha within 15 minutes tu very fast na idm
   
 8. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  U sir are a GENIUS!!! Kudos!!
   
 9. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mkuu nimejaribu but kila nikisha generate link pale chini kwenye sehemu y ku clik download nakuta haifanyi kazi na juu yake wananionyesha file name tu bila likn yoyote...msaada pliz!
   
 10. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Oh ndio sometimes inazinguaga hapo.. what u need to do ni right click pembeni ya download then chagua view source code...

  zikitokea press CTRL + F then weka maneno yaliopo kabla ya download botton...

  then ukiona kwny source code angalia kwny huo mstari kuelekea kulia mpaka utaona action then baada ya hapo utaona

  link illiogenerated icopy na ipaste katika idm and kazi imekwisha!!!
   
 11. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kwisha kazi....thanks meen!!
   
 12. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160

  hiyo ni rahisi tu chamsingi uwe na software u torrent ya kudownloadia kama bittorent au u torrent then ingia Business Credit Checks - Driving Record Check - Background Credit Check - Criminal Records Check - Pre-Employment Screening au EZTV - TV Torrents Online then unaweza kudownload episode yeyote uitakayo kutokea hapo baada ya kusearch nikita
   
 13. g

  gwambali JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nikita S02E20 haijatokabado , ndani ya dakika 30 kuanzia sasa itakuwa heweni
   
 14. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  its true na episode hiyo ya 19 imerushwa tarehe 20, jana ijumaa inarushwa episode 20. so leo jumamosi niko tayari kuidownload.
   
 15. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Wachina wameshakuchakachua wewe.., Hakuna Season 3.
  Download na install Mutorrent software through utorrent
  Then baada ya hapo kwa kuanzia ingia hapa kickasstorrents ambako utapata movies torrents. Baada ya kudownload click hicho kitorrent ambapo Utorrent software will take over then click OK.
  Kama una swali zaidi, niPM
   
 16. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mkuu unaishi dunia gani....kitu kimetoka tangu juzi...tushaitizama na tushamaliza...tunatafuta ya 21 saizi!!! pole...
   
 17. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Usiwachanganye watu mkuu. nikitas02e20 ilikuwa hewani jana ijumaa. hiyo juzi yako ni ipi hiyo? au usikute unaangalia trela. au wewe uko hukohuko jikoni?
   
 18. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  tehe...shauri yako...kuwa uploaded kwenye net jana haimaanishi ndo imetoka jana....
   
 19. bennynho

  bennynho Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Imeonyeshwa jana acha kudanganya raia...!usitufanye wote viazi humu!
   
Loading...