Nikisikia jina Magufuli napata huzuni, moyoni najisikia hasira

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
This is a true story,


nikisikia either likitajwa jina hilo napata msononeko WA moyo. asubuhi nikiamka kwenda ofisini naenda tu kwakuwa niwajibu wangu lakini sina tena furaha ya kazi.

I speak my heart. huu ni ukweli wangu wala si unafiki


wenzangu vp?
 
Hapa wazalendo wenzangu naomba tuseme hasira zetu zote kwa kunong'onezana. La sivyo atatuvaa mbavuni huyu mtukufu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom