Nikisema CCM na Serikali yake ni waongo nitakuwa nakosea?

Schengen

Senior Member
Mar 24, 2024
171
267
Ni Matumaini yangu wote mko salama

Nasikitika kwamba Serikali ya Chama cha mapinduzi Ni waongo Sana Na Chama chenyewe ni Chama cha hila.

Bahati nzuri Mimi sina maneno mengi Sana Naenda moja Kwa moja Kwenye point kuthibitisha uongo wa Chama change cha Mbogamboga.

Nikiwa mdogo nilikuta Bicon za mpango wa mradi wa maji kule kijijini kwetu
Tukaambiwa maji ya Bomba yanakuja soon tukakaa Hadi Nikaota Ndevu hayakuja maji. Mwisho tukaletewa maji mengine na wafadhili wa kanisani mpaka Leo hii Bicon ziko pale

Kipindi cha Chinja Chinja Wakatangaza Barabara ya Same, Mkomazi , Gonja, Ndugu, Kihurio.....Kujengwa kwa kiwango cha lami Mara ya kwanza, Mara ya pili Wakatangaza kuwa mkandarasi ameshapatikana tayari kazi inaanza mara moja Hadi tunapoongelea hapa Hakuna kilichofanyika

Mwisho Hilo Jimbo limewekewa mtu ambaye Sio chaguo la wananchi
Na si Raia wa Jimbo Hilo
Alizaliwa huko akaolewa na waziri mkuu wa zamani. Sasa watu wanalazimishiwa huyu mbunge (ke) kama heshimu ya Chama chao Kwa Mzee. Yeye mwenyewe anadhubutu kusema kipindi cha kampeni. Nanukuu: Hili Jimbo Ni langu hata msiponipigia kura.
Swali langu Kwa CCM na Serikali yake

Je wananchi wa Same mashariki waliwakosea nini? Hadi Jimbo la mahali kwengine linamilikiwa na mtu wa mahali kwingine kama kiinua mgongo cha waziri mkuu wa zamani?

Hivi anaweza kuthubutu akasimama kutaja alichowahi kufanyia Jimbo? Kama ni kiwanda cha Tangawizi kiliasisiwa na kina Jungle Misters family
Tajiri wa Tanzanite
Sasa hivi ndio ameanza kupita kusalimia watu Dakika ya 81 ya mchezo
Siku zingine zote anakula bata huko kwake

Kwani mtawaona Watanzania Ni wajinga hata lini?
Asanteni
 
Ni Matumaini yangu wote mko salama
Nasikitika kwamba Serikali ya Chama cha mapinduzi Ni waongo Sana Na Chama chenyewe ni Chama cha hila.

Bahati nzuri Mimi sina maneno mengi Sana Naenda moja Kwa moja Kwenye point kuthibitisha uongo wa Chama change cha Mbogamboga.

Nikiwa mdogo nilikuta Bicon za mpango wa mradi wa maji kule kijijini kwetu
Tukaambiwa maji ya Bomba yanakuja soon tukakaa Hadi Nikaota Ndevu hayakuja maji. Mwisho tukaletewa maji mengine na wafadhili wa kanisani mpaka Leo hii Bicon ziko pale

Kipindi cha Chinja Chinja Wakatangaza Barabara ya Same, Mkomazi , Gonja, Ndugu, Kihurio.....Kujengwa kwa kiwango cha lami Mara ya kwanza, Mara ya pili Wakatangaza kuwa mkandarasi ameshapatikana tayari kazi inaanza mara moja Hadi tunapoongelea hapa Hakuna kilichofanyika

Mwisho Hilo Jimbo limewekewa mtu ambaye Sio chaguo la wananchi
Na si Raia wa Jimbo Hilo
Alizaliwa huko akaolewa na waziri mkuu wa zamani. Sasa watu wanalazimishiwa huyu mbunge (ke) kama heshimu ya Chama chao Kwa Mzee. Yeye mwenyewe anadhubutu kusema kipindi cha kampeni. Nanukuu: Hili Jimbo Ni langu hata msiponipigia kura.
Swali langu Kwa CCM na Serikali yake

Je wananchi wa Same mashariki waliwakosea nini? Hadi Jimbo la mahali kwengine linamilikiwa na mtu wa mahali kwingine kama kiinua mgongo cha waziri mkuu wa zamani?

Hivi anaweza kuthubutu akasimama kutaja alichowahi kufanyika Jimbo?
Sasa hivi ndio ameanza kupita kusalimia watu Dakika ya 81 ya mchezo
Siku zingine zote anakula bata huko kwako

Back
Top Bottom