Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

Muda ukufika na wewe utaona baadhi ya haya tunayosema
 
Una umri gani
Ushaoa
una mkee una watoto
Ngoja Uoe kisha upate watoto
tena wakawanza na mkeo ndo awe mtoto wake wa kwanza ndo utajua hujui
ukirudi umechoka ma stress za JOB
unapewa mtoto zamu yako ulee
halafu yeye ndo anapika
na bado haitoshi yupo jikoni mfano me naishi chumba na sebure sisi tupo chumbani yeye sebureni anapika lkn atatoka huko akufate akupe umbeya wote wa mtaani
na bado unamwambia natoka mara moja narudi baada nusu saa
utasikia nenda naye basi na hilo toto kama limefundishwa linanyoosha mikono ulibebe ukitaka kumuacha tu kilio
So ni wake zetu tunaenjoy visa vyao japo tunaudhika
ndo mana akisafili wiki tu unakuwa mpweke balaa so hvyo vijimambo vinakera lkn vinanogesha NDOA
7bu ndoa bila maneno maneno na mikwaluzano hata kudundana HAINOGI wala nini
7bu sote ni binadamu na binadamu kamili lazimi utamuudhi mwenzako au wewe uudhiwe na ukasilike haiwezekani ukasilishwe kwa kuudhiwa halafu usikasilike itakuwa wewe sio binadamu ni Punda
ndio mana hakuna sehemu tulosema hawafai au kuwaongelea maneno ya kuwadhalilisha So hakuna siri hapo ni kuwa tunatiana moyo tu kwamba wanawake hizo ndio tabia zao so km nilikuwa namsaport jamaa kuwa hilo lake ni cha mtoto wangu mm yupo hivi so ni jambo la kawaida tu.
 

Acha gubu mbona hilo swali halina ubaya kabisa
Maana vyakula ni kubadilisha basi uwe unamuwahi unasema leo nataka kula chakula flan
Acha gubu nyau wee
 
Uko sahihi mkuu, kuvumiliana tu bas hakuna namna lakin duu si mchezo
 
Acha gubu mbona hilo swali halina ubaya kabisa
Maana vyakula ni kubadilisha basi uwe unamuwahi unasema leo nataka kula chakula flan
Acha gubu nyau wee
hakuna Gubu Dada
MWANAMKE lazima ujue MUMEO anapenda kipi na kipi
na chakura kipi akipendi na kipi anapenda

kwa ufupi sisi watu wa pwani SOKONI tunaenda wenyewe na kawaida yangu JODARI na SATO hawaishaji katika friji hasa JODARI huwa ninanua KUNDUCHI ama mbweni ila sana sana KUNDUCHI 7bu ni nafuu wa MWENZI mzima
na anajua ninapenda samaki
hvyo viungo vingine napitia BOMA kila wikiendi au nikiwa town kkoo job kabla soko halijaungua wanapitisha mtaani nanunua 7bu inakuwa nafuu sana na hata wale samaki wa kukaushwa wa mtoni
Kuku huwa tunakula FRESH hatuifadhi kwenye friji Mimi na mwanangu hatupendi nyama ngombe SISI tunapenda samaki yeye anapenda maharage

So mpk linakuja hilo swali la kibwege ujue ndani kila kitu kipo hayo mahoho manyanya mpk yanaoza mm mpk nazi huwa nanunua BOMA kwa mwezi mara 2 7bu huwa sipendi mboga kuungwa n mafuta na wali wa mafuta

So hakuna Gubu ni yeye tu mvulugaji anapenda tu kukukela ukasilike
7bu siku ukitaka chakula fulani huw namtaalifu mapema mfano kama leo nilimwambia mapema tu mchana JIONI pika pilau ila KUKU usichanganye na pilau
pika lost pembeni na zaidi nikamuambia weka na ile ya kunogesha Rosti ile nyanya ya pakti Royco
hivyo elewa wanawake nyinyi miyeyusho
tu sometyme ukishaitwa MRS FULANI
 
Mzee wetu ilikuwa hiyo mkisikia pikipiki mnajiandaa kupakua,ni mida ya sa mbili usiku mkichelewa analala zake
 
Muache basi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muache basi
nishasemaga huyu simuachi nakomaa nae hvyohvyo ni watatu huyu
utaoa na kuacha mpk lini
30 kwenda 40 tushakuwa watu wazima sio poa kuoa kuacha tunawatesa watoto
tunakomaa tu hvyohvyo kitaeleweka mbele ya safari
nilisema sitapiga mwanamke mimi THUBUTUUU
kinakutoka KIBAO bila kutalajia kwa ghadhabu unazozipata
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ongea naye mueleze!
Ndio umuhimu wa makungwi na manyakanga unapokuja. Zamani kulikua na "semina elekezi" za kiasili kabda ya ndoa ili kuwapa wanandoa watarajiwa shule kuhusu maadili, majukumu, haki na wajibu wao katika ndoa

Siku hizi watu wamekua wajuaji sana. Zile taratibu za wazee wetu zinaonekana zimepitwa na wakati! Mume anaweza kurudi kutoka kazini anaingia ndani mkewe utakuta kakaa anaendelea na kazi zingine au anapiga soga tu

Toka mdogo nakua nikiona baba akirudi home bi mkubwa hata kama alikua na shughuli gani lazima ataacha na kumfuata mshua ndani

Huko kuchelewa kupika nako ni kero nyingine kubwa. Na bahati mbaya pamoja na stlye ya maisha (wakati mwingine utakuta labda both ni wafanyakazi wanarudi late wich is understandable) vinavyowachelewesha ni uvivu au tamthilia za kina Kurfi, Artuglu na nini sijui! Tena wanajua kabisa kua unakerekaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…