Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

bora hivyo anaanza kupika
Wangu ndo kwanza anakuuliza tupike nini MUMEWANGU

Amna swali linaloniudhi kama hilo Tupike nini mumewangu

huwa sijibu natoka zangu nje tu kupunga upepo na anifati tena 7bu anajua kashanivuruga
lakini cha kushangaza baada siku 2 anarudia tena hvyohvyo
Nishasema weee nimechoka
Ongozeni nyumba zenu vizuri..
 
Hapo ni kuweka sheria tu ukifika mda huu chai bado sinywi ikifika muda huu chakula bado sili tena ikifika usiku hivyo hivyo
Lakini na ww uhakikishe kila kitu kipo ndani unga mchele mafuta sio unarudi ndio utoe hela ya unga halafu Unalalamika msosi unachelewa

Kuoa ni kukaribisha umasikini
Mwanamke anayejitambua hushauriana na mumewe kabla ya kesho. Bajeti ya chakula cha kesho hujadiliwa leo.
 
bora hivyo anaanza kupika
Wangu ndo kwanza anakuuliza tupike nini MUMEWANGU

Amna swali linaloniudhi kama hilo Tupike nini mumewangu

huwa sijibu natoka zangu nje tu kupunga upepo na anifati tena 7bu anajua kashanivuruga
lakini cha kushangaza baada siku 2 anarudia tena hvyohvyo
Nishasema weee nimechoka
Tatizo unamchekea sasa ashakuona wewe na yeye mko levo moja.
 
Mkuu,ni kweli inaumiza/kuudhi lkn sometime Wanawake wanakuwa wamebanwa na shughuli nyingi mno, ukitaka kulijua hilo hebu jaribu kuachiwa nyumba siku moja uone muziki wake.Wanawake ni Multifunctioning Organisms.
Kwakweli wanawake tunachoka nyie acheni
 
bora hivyo anaanza kupika
Wangu ndo kwanza anakuuliza tupike nini MUMEWANGU

Amna swali linaloniudhi kama hilo Tupike nini mumewangu

huwa sijibu natoka zangu nje tu kupunga upepo na anifati tena 7bu anajua kashanivuruga
lakini cha kushangaza baada siku 2 anarudia tena hvyohvyo
Nishasema weee nimechoka
Huna upendo, siku ingine unakaa na mkeo mnapika huku mnapiga story
 
Kuna mzee mmoja alinipa trick ya mwanamke kuhusu mambo ya misosi hasa ya usiku, unavyorudi home hakikisha umegonga msosi kabisa muda msosi wa home unagusa tu maana hao viumbe usipo jielewa utalala njaa sana unatoka kazini anaeza kukukera ukajikuta umepitliza kulala na cha ajabu gemu anataka kama kawaida.
 
hakuna Gubu Dada
MWANAMKE lazima ujue MUMEO anapenda kipi na kipi
na chakura kipi akipendi na kipi anapenda

kwa ufupi sisi watu wa pwani SOKONI tunaenda wenyewe na kawaida yangu JODARI na SATO hawaishaji katika friji hasa JODARI huwa ninanua KUNDUCHI ama mbweni ila sana sana KUNDUCHI 7bu ni nafuu wa MWENZI mzima
na anajua ninapenda samaki
hvyo viungo vingine napitia BOMA kila wikiendi au nikiwa town kkoo job kabla soko halijaungua wanapitisha mtaani nanunua 7bu inakuwa nafuu sana na hata wale samaki wa kukaushwa wa mtoni
Kuku huwa tunakula FRESH hatuifadhi kwenye friji Mimi na mwanangu hatupendi nyama ngombe SISI tunapenda samaki yeye anapenda maharage

So mpk linakuja hilo swali la kibwege ujue ndani kila kitu kipo hayo mahoho manyanya mpk yanaoza mm mpk nazi huwa nanunua BOMA kwa mwezi mara 2 7bu huwa sipendi mboga kuungwa n mafuta na wali wa mafuta

So hakuna Gubu ni yeye tu mvulugaji anapenda tu kukukela ukasilike
7bu siku ukitaka chakula fulani huw namtaalifu mapema mfano kama leo nilimwambia mapema tu mchana JIONI pika pilau ila KUKU usichanganye na pilau
pika lost pembeni na zaidi nikamuambia weka na ile ya kunogesha Rosti ile nyanya ya pakti Royco
hivyo elewa wanawake nyinyi miyeyusho
tu sometyme ukishaitwa MRS FULANI
Inaonekana unaingilia sana idara ya mama ndo mana kakususia, Sasa ukifanya yote hayo petty cash atapata wapi,acha kumdekeza wee nunua vyakula vikavu yeye mwachie Hela ya mboga mboga
 
bora hivyo anaanza kupika
Wangu ndo kwanza anakuuliza tupike nini MUMEWANGU

Amna swali linaloniudhi kama hilo Tupike nini mumewangu

huwa sijibu natoka zangu nje tu kupunga upepo na anifati tena 7bu anajua kashanivuruga
lakini cha kushangaza baada siku 2 anarudia tena hvyohvyo
Nishasema weee nimechoka
ndo walivyo hao
 
Back
Top Bottom