Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Uko romantic lakini japo kidunchuu!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du!!!Kwaharaka nafkir vigezo vyako ndo hv ndo maana imekua tabu kumpata :-
~ Chura
~ mrembo
~ mwenye kipato (kazi)
~mkarimu mpole mwenye __hofu ya Mungu
NB: Kumpata mwanamke
Wa aina hii ni ngumu
Coz wengi wao huwa na watu wao tokea kitambo ambao wameanza nao from zero hadi kuwafikisha hapo.
Tafuta wako mpange mvishe mtunze nafikir ipo siku atakua kama unavyotaka
PoleIlo hata mm limenisib....si habar ngeni kwa waliopevuka....Anayenipenda simpendi na ninaye mpenda hanipendi....Yalait angelijua ninavyo nyatiwa asingeli nisumbua mwaka wa tatu sasa....Yan bila huruma ananichomolea makav bila chenga....Kanijaa had naona naona ananinyanyasa ...any way siku nitachukua maamuz magum japo sijui yap
Win bass mm nipo tyr juu yakoIla bora mwanaume akupende we mwanamke...kinyume na hapo ni kilio daily
mwanaume unatafuta mke mwenye kipato????????
Hii ni hoja wa kwetuHapo inatakiwa wewe ndio uanze kumpenda mwanamke na ukishampenda uwe na mbinu za kufanya yule uliyempenda naye akupende sababu sisi wanawake tukishapendwa na kuonyeshwa yale mapenzi ni rahisi sana na sisi kupenda tena saa nyingine tunapenda mpaka tunavuka kiwango yaani hatuoni wala kusikia.
Pia pole sana kwa kukikosa hicho kitu sababu kupendwa unapopenda ni raha sana.
Mkuu unaweza kitumia tafsida maana duh lights yako ni Kali saanaMuombe mungu kila siku atakuja.....ila we ni malaya nmekugundua wenye TABIA kama zako ye hakai na mwanamke kila siku anasema hyu hana vgezo...so wewe tu mwenyewe hujui unataka nini
Sawa mkuu ,,,nashukuru kwa ushaurUnaweza ukajilazimisha kumpenda mwanadada ambaye kwako hana hivyo vigezo lakini kadri unavyozidi kumuzoea ndipo anakuwa mpya kwako na hatimaye vigezo vyake vilivyo ndani vikaonekana ukaja kushangaa usiyemtegeme ndiye akawa huyo. Asante
Ahsante saaana nashukuru nitalifanyia kazJitahidi kutafuta anaekupenda ww na we ujifunze kumpenda kulingana na upendo wake utafurahia maisha ya mapenzi....na mtajikuta wote mnapendana ....lakin ukisubir tu unaempenda nae akupende sawa na mapenzi yake duuh vuta kitu ukae utasubiir sana.....jifunze kumpenda anaekuonyesha mapnz hata kama humpendi kama unataka kufurahia mapnz mm ndicho nachoamin
Ahsante saanaHakuna aliyekamili. Hao unaoona wanasifa wanaudhaifu wa kukuacha nao waona sifa wanazozitaka kwako hazipo. Sifa unayotakiwa kuitanguliza ni upendo na tabia njema au MTU awe na nidham. Mengine ni ya kutengeneza Na yanakua. Inatakiwa MTU umpende naye akupende pasipo na masharti.
MmmhhUKIPENDA ALAFU USIPENDWE UJUE UNA ROHO MBAYA NA UKIPENDWA USIPENDEKE IYO TUNAITA USHAMBA WA MAPENZI
MmmhhUKIPENDA ALAFU USIPENDWE UJUE UNA ROHO MBAYA NA UKIPENDWA USIPENDEKE IYO TUNAITA USHAMBA WA MAPENZI
Baharn mkuu si nuksi zaid Maana ngono za ndani ya maji unaionajeKaoge maji ya bahari, unanuksi
Niko romantic balaan njoo PM uoneUko romantic lakini japo kidunchuu!?
Nashukuru saanaMuombe Mungu mkuu, utampata Eva wako
Kwanza awe mcha Mungu na utii na tabia njema,,vngene vyakufunshikaSifa unazohitaji wewe ni zipi?