Nikipenda sipendwi, nikipendwa sipendi

Nikipenda sipendwi, nikipendwa sipendi

Kuwa flexible tuu kubali kubadilika kidogo kuendana na mtu unayempata kwa sababu ni ngumu kumpata mtu unayetaka kwa vigezo ulivyoviunda wewe na yeye akupende kama unavotaka wewe. Hata hivyo mapenzi hayana formula kila mtu anapambana na mapenzi yake.
 
Kwaharaka nafkir vigezo vyako ndo hv ndo maana imekua tabu kumpata :-

~ Chura
~ mrembo
~ mwenye kipato (kazi)
~mkarimu mpole mwenye __hofu ya Mungu

NB: Kumpata mwanamke
Wa aina hii ni ngumu
Coz wengi wao huwa na watu wao tokea kitambo ambao wameanza nao from zero hadi kuwafikisha hapo.
Tafuta wako mpange mvishe mtunze nafikir ipo siku atakua kama unavyotaka
Mkuu ya mwenye hofu ya Mungu ndio kigezo Cha Kwanza ,,,,mengne ni " social fairs" tu ambavyo haithir
 
Kuwa flexible tuu kubali kubadilika kidogo kuendana na mtu unayempata kwa sababu ni ngumu kumpata mtu unayetaka kwa vigezo ulivyoviunda wewe na yeye akupende kama unavotaka wewe. Hata hivyo mapenzi hayana formula kila mtu anapambana na mapenzi yake.
Ahsante kwa ushauri
Mkuu ya mwenye hofu ya Mungu ndio kigezo Cha Kwanza ,,,,mengne ni " social fairs" tu ambavyo haithir
 
Ilo hata mm limenisib....si habar ngeni kwa waliopevuka....Anayenipenda simpendi na ninaye mpenda hanipendi....Yalait angelijua ninavyo nyatiwa asingeli nisumbua mwaka wa tatu sasa....Yan bila huruma ananichomolea makav bila chenga....Kanijaa had naona naona ananinyanyasa ...any way siku nitachukua maamuz magum japo sijui yap
 
Habari waungwana, natumai mu wazima,

Bila kupoteza muda kama mada inavyojieleza hapo juu ni kwamba nimekuwa na tabia ya kuumia saana hasa inapofika suala la mapenzi.

Mimi bado sijaoa na katika kutafuta mchumba nakua na sifa zangu ninazozihitaki, sasa nikianzisha mahusiano na mtu mwenye sifa ninazozihitaji mahusiano yetu huwa hayadumu na kuishia kuumia tu.

Kwa upande wa pili kuna wadada wanaonipenda saana na mpaka wanamua kuniambia tuoaene Ila hawana sifa ninazozihitaji kama nilivyoeleza hapo juu.

Hili tatizo hasa ni nini? Kwanini nisipate anaenipenda na mimi kumpenda? Kwanini huwa inatokea hivi?

Ahsanteni na karibuni kwa usahuri
Mapnz hayana usawa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yani wanaonikeshea ili niwe nao mimi hata sijawai kuwawazia kuwa itatokea siku moja niwe nao, lakini ninao wawzia usiku na mchana wao ndo kwanza wanaumizwa na wawapendao dah hii ni hatri sana mkuu, nimebahatika mara moja tu kumpenda alienipenda kwanza nimeinjoy sana kwa yeye ila wengine ni pasua kichwa tu.
 
Muombe mungu kila siku atakuja.....ila we ni malaya nmekugundua wenye TABIA kama zako ye hakai na mwanamke kila siku anasema hyu hana vgezo...so wewe tu mwenyewe hujui unataka nini
 
Muombe mungu kila siku atakuja.....ila we ni malaya nmekugundua wenye TABIA kama zako ye hakai na mwanamke kila siku anasema hyu hana vgezo...so wewe tu mwenyewe hujui unataka nini
Eeeeenh.[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Eeeeenh.[emoji57][emoji57][emoji57]
mjomba huoni hyo mtu ana matatzo ye anasema hapati amtakaye hasa mulize kwenye mahusiano hayo huwa anakaa mda gani?...atakwambia miezi6 au mwaka
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mjomba huoni hyo mtu ana matatzo ye anasema hapati amtakaye hasa mulize kwenye mahusiano hayo huwa anakaa mda gani?...atakwambia miezi6 au mwaka
Bado he need sapot na ushaur
 
Hahaaaaaaah, duh umeona kumaliza bila kunitupa utakuwa umepoteza mechi. Haya nimekuelewa nakuja sasa kuchangia.
Hahahaha karibu utoe mchango wako,,,tatizo lako ulichangia bla kujua Kuwa umechangia au laa
 
Ilo hata mm limenisib....si habar ngeni kwa waliopevuka....Anayenipenda simpendi na ninaye mpenda hanipendi....Yalait angelijua ninavyo nyatiwa asingeli nisumbua mwaka wa tatu sasa....Yan bila huruma ananichomolea makav bila chenga....Kanijaa had naona naona ananinyanyasa ...any way siku nitachukua maamuz magum japo sijui yap
Yaan inakera saana mkuu ,,huku nanyatiwa na madame Kama 4 hiv halafu yeye sitaki nataka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom