Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,045
- 126,061
Matarajio gani yanayotoweka?Yaan nmeshafanya hayo mamba mwishon kabisa matarajio yanatoweka,,
Matarajio gani yanayotoweka?Yaan nmeshafanya hayo mamba mwishon kabisa matarajio yanatoweka,,
Yaan mkuu wa kawaida saana mpaka watu wanakushangaaHii formular ya mapenzi alieileta sijui alimanisha nini,? Inatokea Sana hiyo hata mimi naexperince hiyo hali af unakuta mtu mwenyew wa kawaida tu na ana kasoro nying tu kibinadam lkn we ndo umekufa kwake huambiliki yani, cha msing nikuachana nae japo inauma Sana
Hahahaha MI kwa demu ambaye nampenda lkn amenizingua.... Kila boy niliewai kumuonesha picha zake hamna aliewai kuappreciate hadi girls wenzie utasikia ile rangi tu... Ila hata mimi nikimcheki kawaida Sana japo hata mimi nina mapungufu lkn mmmmhYaan mkuu wa kawaida saana mpaka watu wanakushangaa
Ukimpata mweupe mwenye tako kidogo tafadhali nitagUnapenda mwenye vigezo vipi, naweza saidia kukuunganishia huku nikipata
Naamanisha mmefika hatua ya kwenda kwao anaanza kuzngua Mara hapokei wiki nzima ukiulza hakuna 7bu ya msingi yaan maongezi yanapungua saana upendo unapoa saanaMatarajio gani yanayotoweka?
Hapo inatakiwa wewe ndio uanze kumpenda mwanamke na ukishampenda uwe na mbinu za kufanya yule uliyempenda naye akupende sababu sisi wanawake tukishapendwa na kuonyeshwa yale mapenzi ni rahisi sana na sisi kupenda tena saa nyingine tunapenda mpaka tunavuka kiwango yaani hatuoni wala kusikia.
Pia pole sana kwa kukikosa hicho kitu sababu kupendwa unapopenda ni raha sana.
Hii no utelezi wa vidole tu mkuu mods wamesharekebisha, Ila na we uache uongo maaa unasema huchangii wakat umechangia ,,,udhan ni kuchangia kapu la Mama nn?Umeshindwa kuandika hata kichwa cha habari tu? NIKIPENDA SIPENDWI, NIKIPENDWA SIPENDI. Sasa umeandika kama uko chekechea, na bado unashindwa kukielewa!! Pole sana, sina cha kuchangia maana ni uongo.
Kama ilivyo sema bibilia ktka waefeso 5 : 35 na kuendelea ,,,wanawake watiin waume zenu ,utii uaminifu, hekema ndio Changu ,,,,dharau ni mwiko kwangu yaanUnapenda mwenye vigezo vipi, naweza saidia kukuunganishia huku nikipata
Really?Hapo inatakiwa wewe ndio uanze kumpenda mwanamke na ukishampenda uwe na mbinu za kufanya yule uliyempenda naye akupende sababu sisi wanawake tukishapendwa na kuonyeshwa yale mapenzi ni rahisi sana na sisi kupenda tena saa nyingine tunapenda mpaka tunavuka kiwango yaani hatuoni wala kusikia.
Pia pole sana kwa kukikosa hicho kitu sababu kupendwa unapopenda ni raha sana.
Ahsante saanaInawezekana pia unaowapenda wanaona wewe hauna vigezo wanavyovitaka... Kama wewe unavyoona wanaokupenda hawana vigezo vyako.
Cha msingi endelea kutafuta utampata wa kufanana na wewe
Hahaaaaaaah, duh umeona kumaliza bila kunitupa utakuwa umepoteza mechi. Haya nimekuelewa nakuja sasa kuchangia.Hii no utelezi wa vidole tu mkuu mods wamesharekebisha, Ila na we uache uongo maaa unasema huchangii wakat umechangia ,,,udhan ni kuchangia kapu la Mama nn?
Deo anampenda Maria Obama?Mbona easy tu aombe admission Harvard atakutana naeWapo walipendana na wakawa pamoja, masuala et sijui unayempenda haku/hatakupenda au vice versa hio sema inatokea lakini sio constant, tatzo tunalazimisha kupenda au kupendwa na watu ambao hatu match nao, najua kuna wataopinga ila ukweli ndo huo kuna level nyingne inabidi uwe mpole, mfano Deo kisandu mwana jf mwenzetu amekufa ameoza kwa mtoto wa obama hata hawajuani au hata wangekua wanajuana hivi unadhan unadhan utaondoa kigezo cha gap la level zao? Na yeye aje kulalamika et ninayempenda hanipendi?
Kwaharaka nafkir vigezo vyako ndo hv ndo maana imekua tabu kumpata :-
~ Chura
~ mrembo
~ mwenye kipato (kazi)
~mkarimu mpole mwenye __hofu ya Mungu
NB: Kumpata mwanamke
Wa aina hii ni ngumu
Coz wengi wao huwa na watu wao tokea kitambo ambao wameanza nao from zero hadi kuwafikisha hapo.
Tafuta wako mpange mvishe mtunze nafikir ipo siku atakua kama unavyotaka
Si kweli,watu wanakutana tu Ujanani na wanaunga bond maisha yanakwendaKwaharaka nafkir vigezo vyako ndo hv ndo maana imekua tabu kumpata :-
~ Chura
~ mrembo
~ mwenye kipato (kazi)
~mkarimu mpole mwenye __hofu ya Mungu
NB: Kumpata mwanamke
Wa aina hii ni ngumu
Coz wengi wao huwa na watu wao tokea kitambo ambao wameanza nao from zero hadi kuwafikisha hapo.
Tafuta wako mpange mvishe mtunze nafikir ipo siku atakua kama unavyotaka
Sisemei asokuwa na interest sababu kiuhalisia ukimtongoza mwanamke na akakubali ule mtongozo ni lazima kuna kukupenda kwa asilimia fulani na ndicho nilichomaanisha hapo Mkuu.Really?
Yaani asokua na interest ukimpenda nae anaweza KUKUPENDA?
Ahsante saana bibie ,, kwa ushauri ,,tatizo ni pale unaona Ana tabia fulan unajirbu kumrekebisha kifuatcho ni ogomviUkumbuke binadam hatujakamilika na huwezi kumpata mwenye vigezo vyote unavyotaka muhimu kuangalia vile vya umuhim ambavyo unaona ni muhimu kwako
Hata usikate tamaa sababu riziki yako iko njiani yaja muda na wakati wako bado tu haujafika binadam tunaharaka tu kua mvumilivu huku ukimshirikisha Mungu kila tatizo au ombi unalotaka kwa nia thabiti
Okay,Sisemei asokuwa na interest sababu kiuhalisia ukimtongoza mwanamke na akakubali ule mtongozo ni lazima kuna kukupenda kwa asilimia fulani na ndicho nilichomaanisha hapo Mkuu.
Inategemea unamrekebisha kwa style ganiAhsante saana bibie ,, kwa ushauri ,,tatizo ni pale unaona Ana tabia fulan unajirbu kumrekebisha kifuatcho ni ogomvi
Eeeeenh.Ahsante saana bibie ,, kwa ushauri ,,tatizo ni pale unaona Ana tabia fulan unajirbu kumrekebisha kifuatcho ni ogomvi
Kwan Mantic ya yeye kumpenda mtoto wa Obama walishafkia level gan,,,alisharusha mistar akakubaliwa na baadaye akaanza kuzngua?Wapo walipendana na wakawa pamoja, masuala et sijui unayempenda haku/hatakupenda au vice versa hio sema inatokea lakini sio constant, tatzo tunalazimisha kupenda au kupendwa na watu ambao hatu match nao, najua kuna wataopinga ila ukweli ndo huo kuna level nyingne inabidi uwe mpole, mfano Deo kisandu mwana jf mwenzetu amekufa ameoza kwa mtoto wa obama hata hawajuani au hata wangekua wanajuana hivi unadhan unadhan utaondoa kigezo cha gap la level zao? Na yeye aje kulalamika et ninayempenda hanipendi?