Nikipenda sipendwi, nikipendwa sipendi

Nikipenda sipendwi, nikipendwa sipendi

Unaweza ukajilazimisha kumpenda mwanadada ambaye kwako hana hivyo vigezo lakini kadri unavyozidi kumuzoea ndipo anakuwa mpya kwako na hatimaye vigezo vyake vilivyo ndani vikaonekana ukaja kushangaa usiyemtegeme ndiye akawa huyo. Asante
 
Yani wanaonikeshea ili niwe nao mimi hata sijawai kuwawazia kuwa itatokea siku moja niwe nao, lakini ninao wawzia usiku na mchana wao ndo kwanza wanaumizwa na wawapendao dah hii ni hatri sana mkuu, nimebahatika mara moja tu kumpenda alienipenda kwanza nimeinjoy sana kwa yeye ila wengine ni pasua kichwa tu.
Afadhali yako mkuu ,,,Mimi Bado nasota rumande
 
Nifanyaje sasa,,,,ukisema hivyo mbona wenzangu wanaishi fresh tu
Jitahidi kutafuta anaekupenda ww na we ujifunze kumpenda kulingana na upendo wake utafurahia maisha ya mapenzi....na mtajikuta wote mnapendana ....lakin ukisubir tu unaempenda nae akupende sawa na mapenzi yake duuh vuta kitu ukae utasubiir sana.....jifunze kumpenda anaekuonyesha mapnz hata kama humpendi kama unataka kufurahia mapnz mm ndicho nachoamin
 
Unaweza ukajilazimisha kumpenda mwanadada ambaye kwako hana hivyo vigezo lakini kadri unavyozidi kumuzoea ndipo anakuwa mpya kwako na hatimaye vigezo vyake vilivyo ndani vikaonekana ukaja kushangaa usiyemtegeme ndiye akawa huyo. Asante
sure.....uko sahihi
 
Kwaharaka nafkir vigezo vyako ndo hv ndo maana imekua tabu kumpata :-

~ Chura
~ mrembo
~ mwenye kipato (kazi)
~mkarimu mpole mwenye __hofu ya Mungu

NB: Kumpata mwanamke
Wa aina hii ni ngumu
Coz wengi wao huwa na watu wao tokea kitambo ambao wameanza nao from zero hadi kuwafikisha hapo.
Tafuta wako mpange mvishe mtunze nafikir ipo siku atakua kama unavyotaka
mwanaume unatafuta mke mwenye kipato????????
 
Hakuna aliyekamili. Hao unaoona wanasifa wanaudhaifu wa kukuacha nao waona sifa wanazozitaka kwako hazipo. Sifa unayotakiwa kuitanguliza ni upendo na tabia njema au MTU awe na nidham. Mengine ni ya kutengeneza Na yanakua. Inatakiwa MTU umpende naye akupende pasipo na masharti.
 
UKIPENDA ALAFU USIPENDWE UJUE UNA ROHO MBAYA NA UKIPENDWA USIPENDEKE IYO TUNAITA USHAMBA WA MAPENZI
 
Ilo hata mm limenisib....si habar ngeni kwa waliopevuka....Anayenipenda simpendi na ninaye mpenda hanipendi....Yalait angelijua ninavyo nyatiwa asingeli nisumbua mwaka wa tatu sasa....Yan bila huruma ananichomolea makav bila chenga....Kanijaa had naona naona ananinyanyasa ...any way siku nitachukua maamuz magum japo sijui yap
Hahahaaaa!! Kumbe hata maamuzi utakayochukua huyajui!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom