Nikipata Matokeo ya Kufungwa kwa TP Mazembe na Real Bamako leo sitopoteza muda wangu Kutizama Mechi ya Yanga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,606
108,979
Naomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali.

Nitakuwa na Mzuka wa Kuiangalia Mechi ya Yanga FC na Monastir pale tu nikisikia TP Mazembe FC ameshinda huko nchini Mali.

Kwa wenye Akili tunajua kuwa endapo TP Mazembe itafungwa na Real Bamako FC tayari automatically Yanga SC itakuwa imeshafuzu Robo Fainali kwani hata kama Yanga SC watafungwa na Monastir FC Jijini Dar es Salaam itakuwa imeshafuzu.

Nawatakia Monastir FC kila la Kheri.
 
Hawa ndo magenious sasa.njo hapa soweto lounge
 
Tune
IMG_20230319_142409.jpg
 
Back
Top Bottom