Nikiona watoto na mbwa huwa nalia

Nikiona watoto na mbwa huwa nalia

Dunia ingekuwa na watu Kama wewe pangekuwa mahali salama Sana....jipange ufungue center ya watoto yatima itakupa amani sana
 
Mimi sipendi mnyama wa aina yeyote!eti nakula nyau anisogelee aanze kuninusanusa nampa bonge la teke!...USILIE LAKN NATANIA
 
Mkuu kaza narudia tena KAZA.
Dunia sio ya watu dhaifu na walio na hisia zilizopitiliza. na mara nyingi watu wenye huruma kupitiliza ni ngumu kufanikiwa.

Na bila shaka hujawahi kupitia magumu ambayo yangekufanya uwe na mmoyo mgumu kama wa simba na ndio maana uko hivyo ila ukikutana na magumu basi hiyo huruma itapotea bila taarifa.

Sisemi usiwe na huruma au uwe katili lakini duniani hutakiwi kuwa na huruma kama hiyo.
Sababu kuna watu watatake advantage na hiyo huruma yako na hapo ndipo utaona uhalisia wa ulimwengu.
 
Mkuu kaza narudia tena KAZA.
Dunia sio ya watu dhaifu na walio na hisia zilizopitiliza. na mara nyingi watu wenye huruma kupitiliza ni ngumu kufanikiwa.

Na bila shaka hujawahi kupitia magumu ambayo yangekufanya uwe na mmoyo mgumu kama wa simba na ndio maana uko hivyo ila ukikutana na magumu basi hiyo huruma itapotea bila taarifa.

Sisemi usiwe na huruma au uwe katili lakini duniani hutakiwi kuwa na huruma kama hiyo.
Sababu kuna watu watake advantage na hiyo huruma yako na hapo ndipo utaona uhalisia wa ulimwengu.
Maneno kuntu mno, fafanua kidogo mkuu kwa faida yake!
 
Mi naumia nikiona muuza karanga mzee,mpiga debe mzee,yaan mi kuona mtu mzima hasa mwanaume anataabika
Exact same sentiments.

Sisi wanawake we have an easier life. If all else fails si tunawekwa ndani tu na tutakula na kunywa na kuvaa kama kawaida.

Hawa wenzetu sasa.
 
Kwa uzi huu nimeamini ile nadharia kwamba ukifa duniani ROHO yako inapandikizwa kwa mnyama kama ni binaadamu na kama mnyama anapewa binaadamu.. pengine MKUU ulikuwaga MMBWA na ukafaga roho yako kapewa binaadamu ambaye ni wewe.. kwa mujibu wa ile nadharia.. samahani MKUU kama utanielewa vibaya au kwa yeyote ambaye hatonielewa uzuri .. sorry
 
Unataka kutuambia ukiwa trafiki huta kula buku buku, ukiwa mwanasiasa hutaiba kura, ukiwa dereva huta iba mafuta, ukiwa boharia hutanunua chakula kibaya kwa wafungwa, wanafunzi ili upige cha juu, nk nk.
Ukioa huta piga nje ya ndoa au huruma ni kwa wanyama na watoto ila wakubwa utawapiga kama manyang'au mengine yanavopiga ?
Basi wewe utafuata nyao za yesu au mtume Muhanad.
 
Kwa uzi huu nimeamini ile nadharia kwamba ukifa duniani ROHO yako inapandikizwa kwa mnyama kama ni binaadamu na kama mnyama anapewa binaadamu.. pengine MKUU ulikuwaga MMBWA na ukafaga roho yako kapewa binaadamu ambaye ni wewe.. kwa mujibu wa ile nadharia.. samahani MKUU kama utanielewa vibaya au kwa yeyote ambaye hatonielewa uzuri .. sorry
Daaaaah

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Sijui kama ni ugonjwa au sio ugonjwa. Tangu nikiwa mtoto nilikuwa napenda mno wanyama hasa mbuzi, ng'ombe na mbwa. Na nilikuwa na huruma nao mno kiasi cha kulia machozi nilipoona wananyanyasika.

Hali hii nimekua nayo mpaka umri huu, naumia nikiona mtoto mdogo anateseka na magonjwa au anashinda njaa. Huwa nalia machozi nikiwa peke yangu!

Mimi nina behave in a way that jamii inasema nina matatizo ya akili, japo sijawahi kufanya jambo lolote linalothibitisha hilo, kujali kwangu huku kunafanya watu wanione wa ajabu mno.

Huwa napata mawazo ya kufungua kituo cha yatima pindi nikiwa na vihela, huwa nakwenda maeneo ya hospitali kuona wagonjwa, huwa nawanunulia zawadi watoto hata kama siwafahamu. Napenda sana hili!

Nisaidieni, nitafute msaada wa saikolojia? Kwa sababu huwa nikila nawaza watoto wanaokufa njaa huwa nalia mno machozi. Kifupi sina amani ya moyo bado, najilazimisha tu kufurahi na kupitia thread za vichekesho humu JF!

Nipo chuo kwa sasa, ni kijana tu!

Hivi kuna mtu anapitia hali kama hii kweli? Au ni peke yangu? Ni Mungu ananiadhibu? Nimefanya kosa gani?

Naumia mno, hapa ninapoandika nimetoka kulia muda mfupi uliopita.

Nina wazazi wote, sina stress za pesa, nina vihela kidogo vya kunitosha, sina stress za mahusiano, sina chochote cha kusema niwe hivi ukiacha hilo nililoongelea!

Nafikiria kwenda kwa Mwamposa huenda nina mapepo kwani watu wananishangaa mno, ikibidi nimepanga niende usiku wa leo saa 10 alfajiri, nimechoka na hii hali.

Najihisi mpweke, mkiwa na sina amani, chakula hakinogi sana, kifupi kichwa changu hakipo sawa, kila nikiona watoto wanateseka nalia mno, naomba niishie hapa!
Unasumbuliwa na paedophilia na unatakiwa kutumia dawa za kutibu kifafa ili kuzuia Nia Yako ovu ya kuwatamani watoto under three years old kimapenzi!
Ukinipuuzia subiri litakalokukuta la kufungwa maisha!
 
Sijui kama ni ugonjwa au sio ugonjwa. Tangu nikiwa mtoto nilikuwa napenda mno wanyama hasa mbuzi, ng'ombe na mbwa. Na nilikuwa na huruma nao mno kiasi cha kulia machozi nilipoona wananyanyasika.

Hali hii nimekua nayo mpaka umri huu, naumia nikiona mtoto mdogo anateseka na magonjwa au anashinda njaa. Huwa nalia machozi nikiwa peke yangu!

Mimi nina behave in a way that jamii inasema nina matatizo ya akili, japo sijawahi kufanya jambo lolote linalothibitisha hilo, kujali kwangu huku kunafanya watu wanione wa ajabu mno.

Huwa napata mawazo ya kufungua kituo cha yatima pindi nikiwa na vihela, huwa nakwenda maeneo ya hospitali kuona wagonjwa, huwa nawanunulia zawadi watoto hata kama siwafahamu. Napenda sana hili!

Nisaidieni, nitafute msaada wa saikolojia? Kwa sababu huwa nikila nawaza watoto wanaokufa njaa huwa nalia mno machozi. Kifupi sina amani ya moyo bado, najilazimisha tu kufurahi na kupitia thread za vichekesho humu JF!

Nipo chuo kwa sasa, ni kijana tu!

Hivi kuna mtu anapitia hali kama hii kweli? Au ni peke yangu? Ni Mungu ananiadhibu? Nimefanya kosa gani?

Naumia mno, hapa ninapoandika nimetoka kulia muda mfupi uliopita.

Nina wazazi wote, sina stress za pesa, nina vihela kidogo vya kunitosha, sina stress za mahusiano, sina chochote cha kusema niwe hivi ukiacha hilo nililoongelea!

Nafikiria kwenda kwa Mwamposa huenda nina mapepo kwani watu wananishangaa mno, ikibidi nimepanga niende usiku wa leo saa 10 alfajiri, nimechoka na hii hali.

Najihisi mpweke, mkiwa na sina amani, chakula hakinogi sana, kifupi kichwa changu hakipo sawa, kila nikiona watoto wanateseka nalia mno, naomba niishie hapa!
Wafuasi wa CCM ni wapuuz Sana
 
Duuh yaani ukiona tu vitoto vya mbwa.

Mimi zamani nilikua nikitoka town usiku na kutana na viumbwa nalisha sana mawe vikimbie. Yaani nabatua mpaka nisikie ule mlio wao wa maumivu wakikimbia. Siungelia sana wewe.
🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom